@zamaradimketema

zamaradi mketema

Tanzania

Instagram posts and videos uploaded by zamaradimketema

zamaradimketema

Asante sana mdogo wangu @mdugo_store kwa Jeans nzuri, sijajutia kununua kwako, una Jeans nzuri sana aisee😊

February 12, 2024

zamaradimketema

Vita zetu ni kubwa lakini hazituangushi’ we unapotamani niharibikiwe kuna anaelia kwa MUNGU nisimame imara sababu mimi ndio nguzo kwake, Tunategemewa na wengi, Tunaombewa na wengi!! Hata katika chuki na magomvi bado tutamaniane MEMA sababu hujui huyo unaetamani aharibikiwe/adhalilike/aanguke kuna wangapi wasiohusika kabisa wataathirika nyuma yake, Tufanye Dunia iwe sehemu salama, Lets Spread Love 🙏 NB: Caption haihusiani na Video, Jumaa Kareem 😊🤎

February 09, 2024

zamaradimketema

“The Secret Ingredient is LOVE” 😊

February 08, 2024

zamaradimketema

Hizi kazi mara nyingine zinafanya ratiba zinapishana, wiki hii yote nilikuwa nina tight ratiba kiasi nikirudi nyumbani nakuta watu wameshalala, na wanapoamka asubuhi kwenda shule hampati muda mrefu wa kukaa pamoja, nikifululiza hivyo siku mbili tatu ndio najikuta mchana kabla hawajarudi nyumbani wapite ofisini kwanza niwaone nishinde nao wanivuruge ndio warudi nyumbani!!! #BeingaMommy😊❤️

February 08, 2024

zamaradimketema

Trust me, FLOOR ya MKEKA WA MBAO kutoka @classic_finishestz ni Floor bora kabisa na yenye kupendeza kwenye nyumba na ina SIFA NYINGI ZA KIPEKEE, kwanza INAHAMISHIKA, hivyo kama uko kwenye nyumba ya kupanga usihofu kwa kuhisi utaiacha hapana, inahamishika na inadumu mnoo, inahimili maji, kiufupi Maji hayadhuru ndiomana unaweza kuiweka mpaka jikoni, pia haitelezi hivyo ni nzuri kama una watoto, na zaidi kuliko vyote INABADILISHA KABISA MANDHARI YA NYUMBA YAKO NA KUKUPA MUONEKANO MZURI WENYE HADHI NA WA KISASA!!! Unaweza kuweka Nyumbani kwako, Dukani, Ofisini, kwenye Mashule, Mahoteli na sehemu zote!!! Unavutia mnoo na ni Floor kama Floor nyingine!! Unaweza kufollow @classic_finishestz kuona zaidi ama kupiga namba 0747 753566

February 08, 2024

zamaradimketema

Happy Birthday Natty wangu, Thank you for always being there for me, Na zaidi for tolerating mambo yangu ya Last Minute, Nathamini sana, Endelea kuwa Humble na mwema kama ulivyo, na Baraka za MUNGU ziambatane nawe siku zote, I Love you Natalie🙏❤️ @nataliamakeup1000

February 05, 2024

zamaradimketema

Angalia palivyo KABLA kisha angalia BAADA ya @classic_finishestz kufanya maajabu yao, nikupe tu siri, kila unachokihitaji kwa ajili ya finishing bora utakipata @classic_finishestz kuanzia FLOOR YA CHINI, WALL TILES ambazo unabandika tu hutumii cement wala mchanga, WALL PANNELS ZA KISASA HD, na kila kitu unachohitaji, kiufupi nitaanza kukuletea bidhaa mojamoja kwa kina ili uweze kuelewa zaidi, wanapatikana KARIAKOO na MBEZI YA CHINI!! Wapigie simu namba 0747 753566 watakushauri na kukupa maelekezo mazuri juu ya finishing ya nyumba yako!!

February 05, 2024

zamaradimketema

Hakuna sehemu nafikiriaga mara mbili kwenda kama Kariakoo, na kama kuna sehemu nitapata hiko kitu hata kwa bei kuongezeka kidogo basi bora niende huko, mpaka ukiniona nimeenda KARIAKOO ujue hiko kitu ndio ninachokiamini hikohiko siwezi kurisk kuchukua kwingine, na Hawa watu jana wamenipeleka KARIAKOO!! Mmeweza @classic_finishestz 😁😁👊 Sikujali hekaheka wala kukosa parking nilijikuta nafunga safari mpaka Dukani kwao, habari zao zaidi nitawapa kesho lakini niishie tu kusema hawa @classic_finishestz ni kiboko

February 03, 2024

zamaradimketema

Wote tunajua HekaHeka za Kariakoo, Parking Shida, foleni na mambo ni mengi, kwa hekaheka zote hizo ni bidhaa/kitu gani ambacho huna namna utafunga tu safari ya Kariakoo kukifata hata kwa tabu lakini ufike!??? Mimi hawa @classic_finishestz wamenileta jana bila kujifikiria mara mbili, @classic_finishestz mmeweza 😊, Kwa ajili yenu jana nimekuja bila kupenda😁 WEWE ni nani anaweza kukupeleka Kariakoo!?? #temporarypost

February 03, 2024

zamaradimketema

Kwa wewe mkaka nakupa siri!! Valentine hii usihangaike juu ya nini cha kumpelekea mpenzi wako, mpigie @directorjoan kwa namba 0757 520606 akupe PACKAGE ya WIX iliyo full na product zote muhimu kwa ngozi, hakuna mwanamke hatamani WIX, ukifanya hivyo utauwin moyo wake na Valentine yenu itakuwa ya amani tele 😊 NB: Wote tunajua hizi ndio BEST PRODUCT za ngozi ambazo kila mwanamke huona fahari kutumia

February 03, 2024

zamaradimketema

Kutoka kuwa mtangazaji wa kawaida wa TV mpaka sasa MUNGU kaniwezesha na mimi kuwa MMILIKI wa kituo cha Televisheni, sifa na utukufu namrudishia yeye MUNGU alie juu…. Nimejifunza jambo moja kubwa, HAVIJAUMBWA VITU KWA AJILI YA WATU FULANI TU ila KILA KITU NI KWA AJILI YA KILA MTU!! Na Ukiamini unaweza utaweza!!!! Kikubwa ni MUNGU mbele’ Mengi nitaongea baadae, ila kwasasa ZamaradiTV tutapatikana kupitia Channel namba 413 kwenye King’amuzi cha AZAM!! Nawashukuru wote mnaoendelea kunionesha support na upendo mkuu, Bila kusahau MEDIA ZOTE!! Mmeonesha support kubwa sana, Asanteni kwa kunipokea na MUNGU awabariki sana!!!🙏

May 02, 2023

zamaradimketema

Katika wanawake ninaowajua huyu pia ni MWANAMKE kwelikweli!!! Tukiwa bado tuko kwenye mwezi wa kusherehekea WANAWAKE leo acha nimsherehekee @sabra.machano I am SO PROUD OF YOU na progress zako zote!! ZINAONEKANA. Nimeshuhudia unavyookota jiwe mojamoja linalorushwa kwako na kutumia kujengea nyumba yako taratibu, nakwambia tu sasa NYUMBA IMESIMAMA!!! You are UNBREAKABLE Sabra!!!! Niseme tu Maisha yako ni Inspiration tosha, hata kama hawakwambii MIMI NAKWAMBIA!! Kama ilivyokuwa juzi na jana, basi hata leo na kesho Imani yangu ni kubwa kwako, You Deserve to be Celebrated!!! Leo nimeona tu nisikae kimya, hizi ni sifa zako POKEA I am Proud of You my Warrior Woman 👊👊👊👊👊👊

March 21, 2022

zamaradimketema

BUNJU ASTRA IMEWAFIKIA, ukipita Sokoni Bunju B utapata Astra aina zote na hata kwenye Supermarket zote za Bunju!!! Hapo nimebeba Handwash ya Astra SIFA MOJA KUBWA YA HANDWASH YA ASTRA - HAIPAUSHI MIKONO, mara nyingi sabuni zingine za kunawia mikono hufanya mikono kupauka baada ya kunawa lakini sio ya Astra kutoka @astra.homecare hii hutoa mafuta na uchafu wote mikononi, huua bakteria lakini pia inaacha mikono yako ikiwa kwenye hali nzuri bila kupauka na harufu yake ni nzuri pia Iwe ni kwa matumizi ya nyumbani, Restaurant, maofisini ama popote panapohitaji sabuni ya mikono basi Chagua ASTRA HAND WASH kutoka @astra.homecare Kwa wanaohitaji Uwakala piga namba 0685619599

March 21, 2022

zamaradimketema

Binafsi mimi nimeshaona matokeo yake ila nikataka nichukue feedback ya ASTRA GLASS CLEANER kutoka kwa mdogo wangu leo, nadhani umeona jinsi gani Product hii ya kusafishia vioo kutoka @astra.homecare inavyofanya kazi, Achana na Product zote nyingine, TUMIA ASTRA GLASS CLEANER kusafishia vioo, sisi ndio tunaitumia pia!! Inapatikana Tanzania nzima, kwa wanaohitaji UWAKALA wa product hizi piga namba 0685619599 ASTRA ndio #shujaawausafi

March 20, 2022

Similar accounts

zarithebosslady

12m followers

@zarithebosslady
wemasepetu

11.3m followers

@wemasepetu
hamisamobetto

10.9m followers

@hamisamobetto
rayvanny

9.9m followers

@rayvanny
ireneuwoya8

8.3m followers

@ireneuwoya8
ommydimpoz

7.9m followers

@ommydimpoz
mangekimambi_

7.8m followers

@mangekimambi_
kajalafrida

7.4m followers

@kajalafrida
harmonize_tz

7.3m followers

@harmonize_tz
wasafitv

7.1m followers

@wasafitv
zamaradimketema

6.9m followers

@zamaradimketema
officiallinah

6.9m followers

@officiallinah

Disclaimer

The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.

Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.

Copyright © 2024 insiflow.com