Wote tunajua HekaHeka za Kariakoo, Parking Shida, foleni na mambo ni mengi, kwa hekaheka zote hizo ni bidhaa/kitu gani ambacho huna namna utafunga tu safari ya Kariakoo kukifata hata kwa tabu lakini ufike!??? Mimi hawa @classic_finishestz wamenileta jana bila kujifikiria mara mbili, @classic_finishestz mmeweza 😊, Kwa ajili yenu jana nimekuja bila kupenda😁 WEWE ni nani anaweza kukupeleka Kariakoo!?? #temporarypost
February 03, 2024
Disclaimer
The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.
Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.
Contact