zamaradimketema Instagram Analytics, Stats, Followers Count.

View the daily Instagram analytics of zamaradimketema. Find out full analytics and statistics below.

zamaradi mketema Engagement Rate: 0.21%

Instagram Engagement Analytics for @zamaradimketema per post

Avg. Likes

11.2K

Avg. Comments

214.08

Avg. Engagement

0.21%

Latest Posts

Check out the most recent zamaradimketema Instagram photos! Click on any post to find Analytics for it.

zamaradi mketema Instagram
zamaradimketema Instagram

Utajiri Wangu 🌹

 • heart
  11.7K Likes
 • heart
  142 Comments
 • engagement
  0.21% Engagement
 • heart
  11.7K
 • heart
  142
 • engagement
  0.21%
zamaradi mketema Instagram
zamaradimketema Instagram

Hii kitu ilivyotangazwa tu Iliisha yote, na Demand yake imekuwa kubwa sana, kwa wasioelewa nazungumzia nini angalia picha ya pili ambayo mimi binafsi niliweka kwangu kwenye Chumba cha watoto, inaitwa MKEKA WA MBAO!! Uko Imara unapendezesha nyumba na unakaa miaka na miaka na hata ukitaka kuhama unahamishika pia!!! Watu wengi walipiga simu wakaambiwa kuwa umeisha, Sasa UMERUDI Slide kuona aina tofautitofauti za Mkeka wa Mbao ambao ukiuweka chini kila mtu atajua umeweka floor ya mbao Wapigie leo kupitia 0747 753 566 kama unahitaji, Mikoani pia wanasafirisha na hata mafundi wanakuja kukuwekea, ama unaweza kuwafollow @classic_finishestz @classic_finishestz @classic_finishestz Nyumba Nzuri inaanza na Floor nzuri!! Weka hii kitu uone mabadiliko kwenye Nyumba yako!!

 • heart
  1.6K Likes
 • heart
  25 Comments
 • engagement
  0.03% Engagement
 • heart
  1.6K
 • heart
  25
 • engagement
  0.03%
zamaradi mketema Instagram
zamaradimketema Instagram

Maisha ni Safari, Na kwenye safari Mara zote tuna uhakika na tunapotoka, tunapokwenda MUNGU ndio anaejua, tukabidhi safari yetu hii kwa MWENYEEZIMUNGU, Tuombe MUNGU sana atupe salama!!! Kesho ni Siri!! Jumapili njema wote na kwa waliokuwa wakiulizia Interview ya HAMIDU bonyeza Link hapo kwenye BIO juu!!

 • heart
  5.4K Likes
 • heart
  63 Comments
 • engagement
  0.1% Engagement
 • heart
  5.4K
 • heart
  63
 • engagement
  0.1%
zamaradi mketema Instagram
zamaradimketema Instagram

Hizi ndizo sehemu za KUNUNUA NYUMBA na kuishi, wenzetu nchi zilizoendelea walianza zamani vitu vya namna hii sababu wana uhakika na huduma muhimu ndani ya eneo moja na security ya kutosha lakini na HADHI pia!! MTANZANIA aliejitosa kutuletea kitu cha namna hii ni HAMIDU CITY ambae ameshazijenga zaidi ya Nyumba 120 ANAZOZIUZA, na humu ndani Plan ni kuwa nazo 2000 hivyo anaendelea na ujenzi kama inavyoonekana kwenye Video hapo juu. AINA ZA NYUMBA - Kuna aina tofauti 11 za Nyumba hapo Hamidu City, Nazungumzia Design zake, Bei zake, Ukubwa wake, Idadi ya vyumba nk japo zote kwa hakika ziko kwenye STANDARD KUBWA. SPACE - Nyumba zote zina Space ya kutosga kupaki hata Gari Nne, Nafasi Kubwa, Upepo wa kutosha. MFUMO WA ULIPAJI - Umerahisishwa mnooo, unaponunua Nyumba Hamidu City haikulazimu kulipa hela yote, unachotakiwa ni kulipa ASILIMIA ISHIRINI TU ya Gharama ya nyumba yako, Kisha nyingine yote iliyobaki mnatengeneza makubaliano yatakayokurahisishia wewe kumaliza Deni ndani ya MIAKA MITATU, na kama utahitaji kulipa yote pia haikatazwi ni wewe tu!! Sasa Imagine unapewa MIAKA MITATU YOTE, ni rahisi kiasi gani!!! Na zaidi HAKUNA RIBA. OTHER FACILITIES - Humu ndani ya Hamidu City kuna 1. Viwanja vya michezo ya watoto 2. Basketball Court 3. Garden nzuri itakayoruhusu wakazi kufanya Sherehe zao ama hata kupumzika 4. Swimming Pool 5. Supermarket/Mini Mall 6. Hospitali 7. Sehemu za Ibada Vyote viko ndani ya Eneo moja la HAMIDU CITY PARK SECURITY - Nyumba zote hizo ziko ndani ya UZIO mmoja mkubwa uliozunguka eneo lote na Security ni ya uhakika masaa 24, na kama si mkazi ni ngumu kuingia bila taarifa kutoka ndani kwa mkazi FAIDA - Hii system inakupunguzia Stress ya kupambana na mafundi na Risk nyingi za ujenzi tena kwa Gharama nafuu na NYUMBA BORA IMARA zenye muonekano mzuri katika mazingira ya HADHI. Hebu niambie una sababu gani ya kukosa KUNUNUA NYUMBA sehemu ya namna hii!!!? Naweza kusema Hamidu ni kama kaichukua Masaki kaileta Kigamboni ndani ya Eneo moja, Maana hata kutoka Barabara kubwa ya Lami kufika kwenye Nyumba haizidi Dakika Tatu Wapigie Leo kwa namba 0659 500100

 • heart
  2.8K Likes
 • heart
  93 Comments
 • engagement
  0.05% Engagement
 • heart
  2.8K
 • heart
  93
 • engagement
  0.05%
zamaradi mketema Instagram
zamaradimketema Instagram

Tayari nimekuwekea Interview ya Hamidu Kwenye YOU TUBE ya ZamaradiTV Bilionea Aliejenga Nyumba zaidi ya 120, na anaendelea kujenga plan yake ni kufikisha Nyumba 2000 1. NI MPARE KUTOKA LEMBENI, MWANGA KILIMANJARO 2. ALIISHIA DARASA LA SABA 3. ALIKUJA DAR KWA MARA YA KWANZA NA TRENI 4. ALIWAHI KUWA ANAUZA MAYAI/NYANYA KWENYE BESENI KUPITIA TRENI/ALISHAPIKA CHIPS TEMEKE WAILES NA KUFANYA BIASHARA NYINGI NDOGONDOGO Ilikuaje mpaka kufika alipofika, ametumia njia gani, amefanya nini, kwenye Interview tumeenda nae hatua kwa hatua kupata kujua Historia yake na njia aliyopitia, lakini pia upande wa pili wa Historia yake utaupata ndani ya Interview hii na hata wale wa kuhitaji Details kuhusu NYUMBA zake kilakitu kiko wazi kwenye Interview BONYEZA LINK KWENYE BIO HAPO JUU IKUPELEKE KWENYE INTERVIEW YA BILIONEA HUYU MWENYE STORY YA KUSISIMUA!!!!

 • heart
  14.2K Likes
 • heart
  293 Comments
 • engagement
  0.26% Engagement
 • heart
  14.2K
 • heart
  293
 • engagement
  0.26%
zamaradi mketema Instagram
zamaradimketema Instagram

Leo mapema nilipata BARAKA ya kutembelewa na Mkuu wa wilaya ya KIGAMBONI Dada yetu Fatma Almasi Nyangasa!!! Ilikuwa siku nzuri niliyoongeza kitu katika ubongo wangu Siku ya kesho Muheshimiwa ana jambo kubwa sana na Wana Kigamboni!! Nitakuwepo pia kusupport Movement hii kwa ajili ya kuhakikisha Kigamboni yote inabaki kuwa Safi siku zote!! Tujitokeze kwa wingi kushiriki hili kuunga mkono juhudi hii kubwa inayofanywa na Muheshimiwa Nyangasa!! Cc @fatmanyangassa

 • heart
  5.3K Likes
 • heart
  69 Comments
 • engagement
  0.1% Engagement
 • heart
  5.3K
 • heart
  69
 • engagement
  0.1%
zamaradi mketema Instagram
zamaradimketema Instagram

Siku ya kesho nitakuwepo KIGAMBONI kushiriki na Mkuu wa wilaya Dada yetu Muheshimiwa Fatma Nyangasa!!! Wakazi wote wa Kigamboni mjitokeze kwa wingi, Nina Uhakika kakaangu HAMIDU nae atakuwepo 😁

 • heart
  930 Likes
 • heart
  22 Comments
 • engagement
  0.02% Engagement
 • heart
  930
 • heart
  22
 • engagement
  0.02%
zamaradi mketema Instagram
zamaradimketema Instagram

Kwako Mzazi: Kama unatafuta Nafasi ya Shule kwa mtoto wako kwa ajili ya KIDATO CHA KWANZA usihangaike, Jibu ni moja tu ambalo ni Shule ya St MARCUS iliyoko Mkoa wa MBEYA Ni shule nzuri mno kitaaluma iliyoko kwenye mazingira Bora na huku Kimaadili wakiwa Makini mno, Pia wana nafasi chache mno kwa watoto wanaohamia kwa ajili ya Kidato cha pili na cha tatu, Kwa walioko DAR ambao wangependa watoto wao wajiunge na shule hii Interviews zinaendelea Msimbazi Centre, WAHI SASA!! Unaweza Kupiga Simu namba 0758 420 531 ama 0754 691 038 au 0755 211 507 kwa maelezo zaidi Urithi Bora wa mtoto ni ELIMU, hakikisha unampatia mtoto wako Elimu Bora na sio Bora Elimu, ST MARCUS ni shule yenye kiwango cha juu mno cha Elimu tena kwa Ada Nafuu ya MILIONI MBILI NA LAKI MBILI TU ambayo umerahisishiwa kwa kupewa nafasi ya kulipa kwa Awamu nne. UNANGOJA NINI!!!????

 • heart
  1.4K Likes
 • heart
  21 Comments
 • engagement
  0.03% Engagement
 • heart
  1.4K
 • heart
  21
 • engagement
  0.03%
zamaradi mketema Instagram
zamaradimketema Instagram

IKO WAZI!! haihitaji maelezo mengi INAJIONESHA!! Na haijabaki kwenye maneno tu, Hata ukichunguza NDIO UHALISIA. Winning Team ALHAMDULILLAH!!! 💪😊 Ijumaa Kareem. #Staypure #Winningteamalltheway Credit @path2paradise

 • heart
  1.1K Likes
 • heart
  34 Comments
 • engagement
  0.02% Engagement
 • heart
  1.1K
 • heart
  34
 • engagement
  0.02%
zamaradi mketema Instagram
zamaradimketema Instagram

Wakati tunatafuta maisha tusisahau na KUISHI #GentleReminder

 • heart
  18K Likes
 • heart
  241 Comments
 • engagement
  0.32% Engagement
 • heart
  18K
 • heart
  241
 • engagement
  0.32%
zamaradi mketema Instagram
zamaradimketema Instagram

Stress Free Zone!!!

 • heart
  6K Likes
 • heart
  73 Comments
 • engagement
  0.11% Engagement
 • heart
  6K
 • heart
  73
 • engagement
  0.11%
zamaradi mketema Instagram
zamaradimketema Instagram

Aunty’s Night!!!

 • heart
  10.6K Likes
 • heart
  104 Comments
 • engagement
  0.19% Engagement
 • heart
  10.6K
 • heart
  104
 • engagement
  0.19%

FAQ - zamaradimketema Instagram Account Stats

Here are some of the frequently asked questions about zamaradi mketema Instagram Account.

Answer: zamaradimketema Instagram account has 5.6M followers.
Answer: Engagement rate of zamaradimketema Instagram is 0.21%
Answer: Average likes are about 11.2K per post.
Answer: Average comments are about 214.08 per post.
Answer: Official zamaradi mketema username Instagram is @zamaradimketema