@zamaradimketema

zamaradi mketema

Tanzania

 Katika wanawake ninaowajua huyu pia ni MWANAMKE kwelikweli!!! Tukiwa bado tuko kwenye mwezi wa kusherehekea WANAWAKE leo acha nimsherehekee @sabra.machano I am SO PROUD OF YOU na progress zako zote!! ZINAONEKANA.

Nimeshuhudia unavyookota jiwe mojamoja linalorushwa kwako na kutumia kujengea nyumba yako taratibu, nakwambia tu sasa NYUMBA IMESIMAMA!!! You are UNBREAKABLE Sabra!!!! Niseme tu Maisha yako ni Inspiration tosha, hata kama hawakwambii MIMI NAKWAMBIA!! Kama ilivyokuwa juzi na jana, basi hata leo na kesho Imani yangu ni kubwa kwako, You Deserve to be Celebrated!!! Leo nimeona tu nisikae kimya, hizi ni sifa zako POKEA 

I am Proud of You my Warrior Woman πŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘Š

Katika wanawake ninaowajua huyu pia ni MWANAMKE kwelikweli!!! Tukiwa bado tuko kwenye mwezi wa kusherehekea WANAWAKE leo acha nimsherehekee @sabra.machano I am SO PROUD OF YOU na progress zako zote!! ZINAONEKANA. Nimeshuhudia unavyookota jiwe mojamoja linalorushwa kwako na kutumia kujengea nyumba yako taratibu, nakwambia tu sasa NYUMBA IMESIMAMA!!! You are UNBREAKABLE Sabra!!!! Niseme tu Maisha yako ni Inspiration tosha, hata kama hawakwambii MIMI NAKWAMBIA!! Kama ilivyokuwa juzi na jana, basi hata leo na kesho Imani yangu ni kubwa kwako, You Deserve to be Celebrated!!! Leo nimeona tu nisikae kimya, hizi ni sifa zako POKEA I am Proud of You my Warrior Woman πŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘Š

March 21, 2022

Disclaimer

The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.

Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.

Copyright Β© 2024 insiflow.com