@zamaradimketema

zamaradi mketema

Tanzania

 BUNJU ASTRA IMEWAFIKIA, ukipita Sokoni Bunju B utapata Astra aina zote na hata kwenye Supermarket zote za Bunju!!! Hapo nimebeba Handwash ya Astra

SIFA MOJA KUBWA YA HANDWASH YA ASTRA - HAIPAUSHI MIKONO, 
mara nyingi sabuni zingine za kunawia mikono hufanya mikono kupauka baada ya kunawa lakini sio ya Astra kutoka @astra.homecare hii hutoa mafuta na uchafu wote mikononi, huua bakteria lakini pia inaacha mikono yako ikiwa kwenye hali nzuri bila kupauka na harufu yake ni nzuri pia

Iwe ni kwa matumizi ya nyumbani, Restaurant, maofisini ama popote panapohitaji sabuni ya mikono basi Chagua ASTRA HAND WASH kutoka @astra.homecare 

Kwa wanaohitaji Uwakala piga namba 0685619599

BUNJU ASTRA IMEWAFIKIA, ukipita Sokoni Bunju B utapata Astra aina zote na hata kwenye Supermarket zote za Bunju!!! Hapo nimebeba Handwash ya Astra SIFA MOJA KUBWA YA HANDWASH YA ASTRA - HAIPAUSHI MIKONO, mara nyingi sabuni zingine za kunawia mikono hufanya mikono kupauka baada ya kunawa lakini sio ya Astra kutoka @astra.homecare hii hutoa mafuta na uchafu wote mikononi, huua bakteria lakini pia inaacha mikono yako ikiwa kwenye hali nzuri bila kupauka na harufu yake ni nzuri pia Iwe ni kwa matumizi ya nyumbani, Restaurant, maofisini ama popote panapohitaji sabuni ya mikono basi Chagua ASTRA HAND WASH kutoka @astra.homecare Kwa wanaohitaji Uwakala piga namba 0685619599

March 21, 2022

Disclaimer

The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.

Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.

Copyright © 2024 insiflow.com