Vita zetu ni kubwa lakini hazituangushi’ we unapotamani niharibikiwe kuna anaelia kwa MUNGU nisimame imara sababu mimi ndio nguzo kwake, Tunategemewa na wengi, Tunaombewa na wengi!! Hata katika chuki na magomvi bado tutamaniane MEMA sababu hujui huyo unaetamani aharibikiwe/adhalilike/aanguke kuna wangapi wasiohusika kabisa wataathirika nyuma yake, Tufanye Dunia iwe sehemu salama, Lets Spread Love 🙏 NB: Caption haihusiani na Video, Jumaa Kareem 😊🤎
February 09, 2024
Disclaimer
The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.
Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.
Contact