@zamaradimketema

zamaradi mketema

Tanzania
Kutoka kuwa mtangazaji wa kawaida wa TV mpaka sasa MUNGU kaniwezesha na mimi kuwa MMILIKI wa kituo cha Televisheni, sifa na utukufu namrudishia yeye MUNGU alie juu…. 

Nimejifunza jambo moja kubwa, HAVIJAUMBWA VITU KWA AJILI YA WATU FULANI TU ila KILA KITU NI KWA AJILI YA KILA MTU!! Na Ukiamini unaweza utaweza!!!! Kikubwa ni MUNGU mbele’

Mengi nitaongea baadae, ila kwasasa ZamaradiTV tutapatikana kupitia Channel namba 413 kwenye King’amuzi cha AZAM!! 

Nawashukuru wote mnaoendelea kunionesha support na upendo mkuu, Bila kusahau MEDIA ZOTE!! Mmeonesha support kubwa sana, 

Asanteni kwa kunipokea na MUNGU awabariki sana!!!🙏

Kutoka kuwa mtangazaji wa kawaida wa TV mpaka sasa MUNGU kaniwezesha na mimi kuwa MMILIKI wa kituo cha Televisheni, sifa na utukufu namrudishia yeye MUNGU alie juu…. Nimejifunza jambo moja kubwa, HAVIJAUMBWA VITU KWA AJILI YA WATU FULANI TU ila KILA KITU NI KWA AJILI YA KILA MTU!! Na Ukiamini unaweza utaweza!!!! Kikubwa ni MUNGU mbele’ Mengi nitaongea baadae, ila kwasasa ZamaradiTV tutapatikana kupitia Channel namba 413 kwenye King’amuzi cha AZAM!! Nawashukuru wote mnaoendelea kunionesha support na upendo mkuu, Bila kusahau MEDIA ZOTE!! Mmeonesha support kubwa sana, Asanteni kwa kunipokea na MUNGU awabariki sana!!!🙏

May 02, 2023

Disclaimer

The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.

Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.

Copyright © 2024 insiflow.com