Hizi kazi mara nyingine zinafanya ratiba zinapishana, wiki hii yote nilikuwa nina tight ratiba kiasi nikirudi nyumbani nakuta watu wameshalala, na wanapoamka asubuhi kwenda shule hampati muda mrefu wa kukaa pamoja, nikifululiza hivyo siku mbili tatu ndio najikuta mchana kabla hawajarudi nyumbani wapite ofisini kwanza niwaone nishinde nao wanivuruge ndio warudi nyumbani!!! #BeingaMommy😊❤️
February 08, 2024
Disclaimer
The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.
Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.
Contact