@zamaradimketema

zamaradi mketema

Tanzania
Hakuna sehemu nafikiriaga mara mbili kwenda kama Kariakoo, na kama kuna sehemu nitapata hiko kitu hata kwa bei kuongezeka kidogo basi bora niende huko, mpaka ukiniona nimeenda KARIAKOO ujue hiko kitu ndio ninachokiamini hikohiko siwezi kurisk kuchukua kwingine, na Hawa watu jana wamenipeleka KARIAKOO!! Mmeweza @classic_finishestz πŸ˜πŸ˜πŸ‘Š Sikujali hekaheka wala kukosa parking nilijikuta nafunga safari mpaka Dukani kwao, habari zao zaidi nitawapa kesho lakini niishie tu kusema hawa @classic_finishestz ni kiboko

February 03, 2024

Disclaimer

The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.

Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.

Copyright Β© 2024 insiflow.com