@mdudechadema

Mdude Chadema

Tanzania

Instagram posts and videos uploaded by mdudechadema

mdudechadema

Twitty ya kwanza ilikuwa 20 September 2019 nilipokuwa namuonya sabaya kuwa aache ujambazi kwani kuna siku Magufuli anayemlinda hatakuwepo na ataishia jela. Twitty ya pili ilikuwa 21 October 2019 nilipoonya kiburi cha wateule wa JPM. Asante MUNGU kila nilichoandika kimetimia.

September 01, 2021

mdudechadema

August 31, 2021

mdudechadema

August 31, 2021

mdudechadema

Huyu mama nilikuwa simjui kabla na nilimjua alipokuwa RPC kinondoni nilimpenda kwa kuwa aliwaonya askari wanaobambikiza watu kesi,wala rushwa na wanaotumia nguvu kupita kiasi.Anaitwa Suzan Kaganda huyu ndiye anapaswa kuwa IGP na sio huyo takataka namba nne wenu anayeropoka hovyo.

August 29, 2021

mdudechadema

August 28, 2021

mdudechadema

Mimi nilikataa kufungwa akili nikafungwa mwili pale Ruanda Prison,Mbowe amekataa kufungwa akili amefungwa mwili huko Keko Prison lakini akili yake ipo huru.Kuna viongozi wa kiraia na majeshi miili yao ipo huru mpaka wanaota vitambi utadhani wamemeza amila lakini akili zao zimefungwa hazipo huru.

August 28, 2021

mdudechadema

August 26, 2021

mdudechadema

Leo 25 August ni birthday yangu na nilitegemea kuzindua kitabu changu cha The Black Democracy kinachosimulia mateso yangu na wengine na siasa mbaya wakati wa JPM.Kwa bahati mbaya tumeshindwa kukiweka kitabu sokoni leo kwa kuwa mawakili hawajamaliza kukipitia kuona kama kuna jinai.

August 25, 2021

mdudechadema

Siku umekuja Mbeya kwenye kesi yangu uliniambia Mdude naumia sana wanavyokufunga pingu,kila nikiona naumia.Nakumbuka nilikujibu moja ya vitu vinavyonipa ari ya mapambano basi ni kufungwa pingu.Wewe ni kaka yangu,baba yangu na mwalimu wangu.Kwamba mimi muuza madawa na wewe gaidi?Time will tell.

August 25, 2021

mdudechadema

August 24, 2021

mdudechadema

August 21, 2021

mdudechadema

August 10, 2021

Similar accounts

zarithebosslady

12m followers

@zarithebosslady
wemasepetu

11.3m followers

@wemasepetu
hamisamobetto

10.9m followers

@hamisamobetto
rayvanny

9.9m followers

@rayvanny
ireneuwoya8

8.3m followers

@ireneuwoya8
ommydimpoz

7.9m followers

@ommydimpoz
mangekimambi_

7.8m followers

@mangekimambi_
kajalafrida

7.4m followers

@kajalafrida
harmonize_tz

7.3m followers

@harmonize_tz
wasafitv

7.1m followers

@wasafitv
zamaradimketema

6.9m followers

@zamaradimketema
officiallinah

6.9m followers

@officiallinah

Disclaimer

The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.

Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.

Copyright © 2024 insiflow.com