Mimi nilikataa kufungwa akili nikafungwa mwili pale Ruanda Prison,Mbowe amekataa kufungwa akili amefungwa mwili huko Keko Prison lakini akili yake ipo huru.Kuna viongozi wa kiraia na majeshi miili yao ipo huru mpaka wanaota vitambi utadhani wamemeza amila lakini akili zao zimefungwa hazipo huru.

mdudechadema

@mdudechadema
N/A

Disclaimer

The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.

Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.

Follow Us

facebook logoinstagram logotwitter logolinkedin logo

Copyright 2020-2024 Insiflow.com