@mdudechadema

Mdude Chadema

Tanzania
Leo 25 August ni birthday yangu na nilitegemea kuzindua kitabu changu cha The Black Democracy kinachosimulia mateso yangu na wengine na siasa mbaya wakati wa JPM.Kwa bahati mbaya tumeshindwa kukiweka kitabu sokoni leo kwa kuwa mawakili hawajamaliza kukipitia kuona kama kuna jinai.

August 25, 2021

Disclaimer

The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.

Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.

Copyright © 2024 insiflow.com