@mdudechadema

Mdude Chadema

Tanzania
Siku umekuja Mbeya kwenye kesi yangu uliniambia Mdude naumia sana wanavyokufunga pingu,kila nikiona naumia.Nakumbuka nilikujibu moja ya vitu vinavyonipa ari ya mapambano basi ni kufungwa pingu.Wewe ni kaka yangu,baba yangu na mwalimu wangu.Kwamba mimi muuza madawa na wewe gaidi?Time will tell.

August 25, 2021

Disclaimer

The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.

Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.

Copyright © 2024 insiflow.com