Huyu mama nilikuwa simjui kabla na nilimjua alipokuwa RPC kinondoni nilimpenda kwa kuwa aliwaonya askari wanaobambikiza watu kesi,wala rushwa na wanaotumia nguvu kupita kiasi.Anaitwa Suzan Kaganda huyu ndiye anapaswa kuwa IGP na sio huyo takataka namba nne wenu anayeropoka hovyo.

mdudechadema

@mdudechadema
N/A

Disclaimer

The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.

Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.

Follow Us

facebook logoinstagram logotwitter logolinkedin logo

Copyright 2020-2024 Insiflow.com