@jozzyofficial

JOZZY MLAKI OFFICIAL

Unknown

Instagram posts and videos uploaded by jozzyofficial

jozzyofficial

class="content__text" Tunawapongeza sana Wanawake wote ambao Wanathubutu na kufanya Mambo mbalimbali yanayowawezesha kuwa na Maisha mazuri lakini pia Kuwashika mkono watu wengi na Kuwavusha kutoka Sehemu moja kwenda Sehemu nyingine. Tunawapongeza sana Wasanii wote wa Kike, Managers na wote wanaohusika na Tasnia hii ya Bongo Fleva na Wanafanya vizuri kwenye Majukumu yao. Heri ya Siku ya Kimataifa ya Wanawake Dunia kwa kila Mwanamke ambaye anajitoa kwa Moyo mmoja kuisupport Platform ya Jozzy Media (https://jozzymedia.com) na kila anayewasupport Wasanii wa Kike kwenye Industry ya Bongo Fleva. Imetoka kwa Jozzy Official (@jozzyofficial ) CEO & Founder of Jozzy Media.

March 08, 2023

jozzyofficial

class="content__text" THE ORANGE CONCERT 2023 FUNDRAISING FOR DEAF GIRLS & THE ORANGE AWARDS Taasisi ya Dada Hood Initiative (@dadahoodtz ) ambayo inamilikiwa na Mamy Baby (@mamybabytz ) Leo ikiwa ni Siku ya Wanawake Duniani inaendesha Kampeni tatu Muhimu 1. Fundraising ya Kuwasaidia Mabinti wanaopitia Changamoto ya Usikivu 2. The Orange Concert ambayo itafanyikia Serena Hotel 3. Ugawaji tuzo kwa Mabinti/Wanawake wanaofanya vizuri kwenye Kiwanda cha Burudani kuanzia Mziki, Uigizaji, Michezo n.k Cc: @dadahoodtz@mamybabytz@msigwatz #DadaHoodSupporters

March 08, 2023

jozzyofficial

class="content__text" Baada ya kuwaonyesha Malkia Wachapakazi na Wabunifu tukawaonyesha Dunia ya mafanikio inayowasubiri, wakapambana kiasi cha kubaki na Kovu la Thamani, kovu lililowapa Malkia sababu za kujiamini na kusema kuwa ‘Ninatosha’ wakaamini kuwa sky is the limit kwenye mapambano yao, wkaona hawana chaguo bali ku-Ingia Ulingoni kuutumia ulingo ipasavyo kama Saiti ya mapambano, wakapambana kulainisha yalokuwa magumu na sasa ni muda wa ku7bisha. #MalkiaWaBguvu2023 #7Bisha Cc: @cloudsfmtz@cloudstv

March 07, 2023

jozzyofficial

class="content__text" Kama wewe ni Msanii unaweza Kutuma kazi zako kwa Ajili ya Publishing and Promotion kupitia Tovuti yetu (https://jozzymedia.com) Kama wewe ni Shabiki wa Mziki mzuri unaweza Kupakua sasa Ngoma kali na mpya kupitia Website yetu #BongoMusic #MzikiKwaWingi

February 28, 2023

jozzyofficial

class="content__text" Kuelekea March 8 siku ambayo Crown zitavishwa kwa Wasichana / Wanawake ambao mchango wao unaleta matokeo chanya kwenye jamii kupitia The Orange Concert, hawa ni Nominees ambao wamebahatika kuwania Tuzo katika vipengele mbalimbali Sekta ya Habari Burudani na Michezo kupitia #TheOrangeAwards2023. Tuzo hizi zinazoandaliwa na Taasisi ya @dadahoodtz zinatarajiwa kutolewa katika Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani March 8 Serena Hotel Dar es Salaam. Cc: @mamybabytz@msigwatz@cloudsfmtz

February 28, 2023

jozzyofficial

class="content__text" Haikuwa bahati mbaya Kuzaliwa kwenu, bali kuna Kusudio kubwa ambalo Mungu aijuaye Kesho yenu alilipanga. Ikawe Siku ya Furaha kwenu @jr_farhanjr@seinb_official@farneyjohn_ Kama ilivyokuwa siku ile Wazazi wenu walivyofurahia baada ya Kuwapata. Kila baya likae mbali nanyi, Kila lenye Heri likawe karibu nanyi Siku zote Nawapenda sana Washikaji zangu Kabisa Nawaombea Dua njema ❤ #HappyBirthDay @wacloudsania #7Bisha

February 21, 2023

jozzyofficial

class="content__text" Unaweza ukawa na Sababu zaidi ya 1000 kusema kwamba Mziki wa Tanzania upo kwenye mikono salama lakini pia Future ya huyu Mwanadada kwenye tasnia ni Angavu zaidi ya Sana. Uandishi, Melodies kali, sauti tamu katika Uimbaji vyote vimekaa hapa. Vyote hivi utavithibitisha Leo hii ndani ya @dwikendchatshow (@cloudstv ) ambapo @appy_tz Amehusika kwenye #Introducing. Tukutane Saa 09:40 Kideoni @cloudstv Cc: @kamandamzeemkavu@kingdiofficial@mimah_washington@seinb_official@iamactiveman #Sababisha ❤

February 21, 2023

jozzyofficial

class="content__text" January haihitaji makasiriko, 2023 si tunasema #7bisha basi sisi hapa kitivoni #SentroCloudsTV leo tunai7bisha furaha. Tuna 7bisha furaha kisha tunagawana na wewe sababu Furaha huleta amani na Furaha huongeza upendo yaani tunaifanya January kuwa kama December 😄 Ni aina gani ya Furaha unaweza kugawana na mtu wako wa karibu January hii? Cc: @cloudstv@babbiekabae #SentroCloudsTV #7bishaFuraha #TugawaneFuraha #JanuaryKamaDecember

January 14, 2023

jozzyofficial

class="content__text" Mwamba Inchaji MCLOUDSANIA Halisi Mmakonde wa Viwango Mbunifu wa Aina yake Happy BirthDay Kaka Mkubwa @salaamremmy_ Baraka na Neema tele zikajae kwenye Maisha yako Roho yako Safiii kama Sufu iendelee Kudumu Nakukubali sana Kaka Ahsante kwa Michongo Kede Kede Cc: @cloudsfmtz@cloudstv@sebamaganga@nchakalih@georgeshagillu

January 14, 2023

jozzyofficial

class="content__text" LIGI KUU YA BURUDANI KWA MWAKA 2023 NDO IMEANZA NAMNA HII S/O TO CMG MUSIC DEPARTMENT Cc: @cloudsfmtz@meena_ally & @mussasaliboko

January 14, 2023

jozzyofficial

class="content__text" Kaka Mkubwa @kenedytheremedy Hongera sana kwa Kufanikiwa kuongeza mwaka mwingine Nafurahia sana kuona unavyozidi kuzipiga hatua kwenye Career yako Nathamini sana uwepo wako Nathamini sana unachokifanya kwenye Industry ya Mziki (Tanzania) Mungu azidi kukulinda Azidi kukubariki na kukujaalia Moyo wa upendo kwa watu wote kama ulivyo hivi Sasa Nakupenda sana Kaka ❤ Wewe ni mtu Mwema sana ma G Happy Happy BirthDay to you Master #TheRemedy #RohoYaSufu

January 14, 2023

jozzyofficial

class="content__text" Duniani kuna vitu vingi ambayo unaweza ukaamua Kuvipenda kwa Dhati kabisa ila Vikakuacha na Alama ya Majuto au vikaishia Kukusaliti na Kukuvunja moyo Ila mimi ni Shuhuda wa yaliyo Mema kutoka kwa Media yangu Pendwa Clouds (@cloudsfmtz@cloudstv@choicefm_tz ) Tangu nimeanza Kujielewa (Ukuaji wa Akili) na nikaichagua Clouds kuwa Kipenzi cha Moyo wangu Sijawahi jutia ata Nusu Kidogo 😀 Nimeishi kwenye Mahaba ya Clouds na nazidi kuyaishi siku zote Maana huku #HakunaKuLeft Ahsante (@cloudsfmtz@cloudstv ) kwa kuzidi Kuwafungulia Dunia watu (Hasa Vijana) katika Nyanja mbalimbali Hakika Clouds ni Mfano wa Media ya kuigwa (Pongezi nyingi kwa Viongozi wote na Wakuu wa Idara mbalimbali ndani ya Clouds) Kazi yenu ni nzuri na Inaonekana sehemu mbalimbali Ahsante kwa Kuniheshimisha Mimi kama Mmoja wapo wa @wacloudsania kwa namna Mbalimbali Happy Happy BirthDay Clouds Mengi yapo ya Kuongelea ila kwa Leo niishie hapo NB: Wanetu wa Dar na Maeneo Jirani msikose Kujisogeza kwenye Shangwe za Sikukuu ya Burudani ( #Fiesta2022) Kipande cha Leaders Club hiyo Kesho #WekaManeno #HakunaKuLeft

December 14, 2022

Similar accounts

natgeo

284.3m followers

@natgeo
iamcardib

169.3m followers

@iamcardib
ddlovato

157.4m followers

@ddlovato
realmadrid

152.8m followers

@realmadrid
chrisbrownofficial

145.3m followers

@chrisbrownofficial
fcbarcelona

125.6m followers

@fcbarcelona
championsleague

113.4m followers

@championsleague
gal_gadot

109.3m followers

@gal_gadot
sooyaaa__

77.4m followers

@sooyaaa__
premierleague

72.7m followers

@premierleague
theweeknd

71.7m followers

@theweeknd
urvashirautela

70.3m followers

@urvashirautela

Disclaimer

The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.

Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.

Copyright © 2024 insiflow.com