@jozzyofficial

JOZZY MLAKI OFFICIAL

Unknown
class="content__text"
 Baada ya kuwaonyesha Malkia Wachapakazi na Wabunifu tukawaonyesha Dunia ya mafanikio inayowasubiri, wakapambana kiasi cha kubaki na Kovu la Thamani, kovu lililowapa Malkia sababu za kujiamini na kusema kuwa ‘Ninatosha’ wakaamini kuwa sky is the limit kwenye mapambano yao, wkaona hawana chaguo bali ku-Ingia Ulingoni kuutumia ulingo ipasavyo kama Saiti ya mapambano, wakapambana kulainisha yalokuwa magumu na sasa ni muda wa ku7bisha.

 #MalkiaWaBguvu2023 #7Bisha

Cc: @cloudsfmtz@cloudstv

class="content__text" Baada ya kuwaonyesha Malkia Wachapakazi na Wabunifu tukawaonyesha Dunia ya mafanikio inayowasubiri, wakapambana kiasi cha kubaki na Kovu la Thamani, kovu lililowapa Malkia sababu za kujiamini na kusema kuwa ‘Ninatosha’ wakaamini kuwa sky is the limit kwenye mapambano yao, wkaona hawana chaguo bali ku-Ingia Ulingoni kuutumia ulingo ipasavyo kama Saiti ya mapambano, wakapambana kulainisha yalokuwa magumu na sasa ni muda wa ku7bisha. #MalkiaWaBguvu2023 #7Bisha Cc: @cloudsfmtz@cloudstv

March 07, 2023

Disclaimer

The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.

Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.

Copyright © 2024 insiflow.com