@jozzyofficial

JOZZY MLAKI OFFICIAL

Unknown
class="content__text"
 Haikuwa bahati mbaya Kuzaliwa kwenu, bali kuna Kusudio kubwa ambalo Mungu aijuaye Kesho yenu alilipanga.

Ikawe Siku ya Furaha kwenu @jr_farhanjr@seinb_official@farneyjohn_ Kama ilivyokuwa siku ile Wazazi wenu walivyofurahia baada ya Kuwapata.

Kila baya likae mbali nanyi, Kila lenye Heri likawe karibu nanyi Siku zote

Nawapenda sana Washikaji zangu Kabisa
Nawaombea Dua njema ❤

 #HappyBirthDay @wacloudsania 
 #7Bisha

class="content__text" Haikuwa bahati mbaya Kuzaliwa kwenu, bali kuna Kusudio kubwa ambalo Mungu aijuaye Kesho yenu alilipanga. Ikawe Siku ya Furaha kwenu @jr_farhanjr@seinb_official@farneyjohn_ Kama ilivyokuwa siku ile Wazazi wenu walivyofurahia baada ya Kuwapata. Kila baya likae mbali nanyi, Kila lenye Heri likawe karibu nanyi Siku zote Nawapenda sana Washikaji zangu Kabisa Nawaombea Dua njema ❤ #HappyBirthDay @wacloudsania #7Bisha

February 21, 2023

Disclaimer

The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.

Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.

Copyright © 2024 insiflow.com