@jozzyofficial

JOZZY MLAKI OFFICIAL

Unknown
class="content__text"
 Kuelekea March 8 siku ambayo Crown zitavishwa kwa Wasichana / Wanawake ambao mchango wao unaleta matokeo chanya kwenye jamii kupitia The Orange Concert, hawa ni Nominees ambao wamebahatika kuwania Tuzo katika vipengele mbalimbali Sekta ya Habari Burudani na Michezo kupitia #TheOrangeAwards2023.

Tuzo hizi zinazoandaliwa na Taasisi ya @dadahoodtz zinatarajiwa kutolewa katika Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani March 8 Serena Hotel Dar es Salaam.

Cc: @mamybabytz@msigwatz@cloudsfmtz

class="content__text" Kuelekea March 8 siku ambayo Crown zitavishwa kwa Wasichana / Wanawake ambao mchango wao unaleta matokeo chanya kwenye jamii kupitia The Orange Concert, hawa ni Nominees ambao wamebahatika kuwania Tuzo katika vipengele mbalimbali Sekta ya Habari Burudani na Michezo kupitia #TheOrangeAwards2023. Tuzo hizi zinazoandaliwa na Taasisi ya @dadahoodtz zinatarajiwa kutolewa katika Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani March 8 Serena Hotel Dar es Salaam. Cc: @mamybabytz@msigwatz@cloudsfmtz

February 28, 2023

Disclaimer

The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.

Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.

Copyright © 2024 insiflow.com