@jozzyofficial

JOZZY MLAKI OFFICIAL

Unknown
class="content__text"
 Duniani kuna vitu vingi ambayo unaweza ukaamua Kuvipenda kwa Dhati kabisa ila Vikakuacha na Alama ya Majuto au vikaishia Kukusaliti na Kukuvunja moyo

Ila mimi ni Shuhuda wa yaliyo Mema kutoka kwa Media yangu Pendwa Clouds (@cloudsfmtz@cloudstv@choicefm_tz )

Tangu nimeanza Kujielewa (Ukuaji wa Akili) na nikaichagua Clouds kuwa Kipenzi cha Moyo wangu Sijawahi jutia ata Nusu Kidogo 😀

Nimeishi kwenye Mahaba ya Clouds na nazidi kuyaishi siku zote
Maana huku #HakunaKuLeft

Ahsante (@cloudsfmtz@cloudstv ) kwa kuzidi Kuwafungulia Dunia watu (Hasa Vijana) katika Nyanja mbalimbali

Hakika Clouds ni Mfano wa Media ya kuigwa (Pongezi nyingi kwa Viongozi wote na Wakuu wa Idara mbalimbali ndani ya Clouds)
Kazi yenu ni nzuri na Inaonekana sehemu mbalimbali

Ahsante kwa Kuniheshimisha Mimi kama Mmoja wapo wa @wacloudsania kwa namna Mbalimbali

Happy Happy BirthDay Clouds
Mengi yapo ya Kuongelea ila kwa Leo niishie hapo

NB: Wanetu wa Dar na Maeneo Jirani msikose Kujisogeza kwenye Shangwe za Sikukuu ya Burudani ( #Fiesta2022) Kipande cha Leaders Club hiyo Kesho

 #WekaManeno #HakunaKuLeft

class="content__text" Duniani kuna vitu vingi ambayo unaweza ukaamua Kuvipenda kwa Dhati kabisa ila Vikakuacha na Alama ya Majuto au vikaishia Kukusaliti na Kukuvunja moyo Ila mimi ni Shuhuda wa yaliyo Mema kutoka kwa Media yangu Pendwa Clouds (@cloudsfmtz@cloudstv@choicefm_tz ) Tangu nimeanza Kujielewa (Ukuaji wa Akili) na nikaichagua Clouds kuwa Kipenzi cha Moyo wangu Sijawahi jutia ata Nusu Kidogo 😀 Nimeishi kwenye Mahaba ya Clouds na nazidi kuyaishi siku zote Maana huku #HakunaKuLeft Ahsante (@cloudsfmtz@cloudstv ) kwa kuzidi Kuwafungulia Dunia watu (Hasa Vijana) katika Nyanja mbalimbali Hakika Clouds ni Mfano wa Media ya kuigwa (Pongezi nyingi kwa Viongozi wote na Wakuu wa Idara mbalimbali ndani ya Clouds) Kazi yenu ni nzuri na Inaonekana sehemu mbalimbali Ahsante kwa Kuniheshimisha Mimi kama Mmoja wapo wa @wacloudsania kwa namna Mbalimbali Happy Happy BirthDay Clouds Mengi yapo ya Kuongelea ila kwa Leo niishie hapo NB: Wanetu wa Dar na Maeneo Jirani msikose Kujisogeza kwenye Shangwe za Sikukuu ya Burudani ( #Fiesta2022) Kipande cha Leaders Club hiyo Kesho #WekaManeno #HakunaKuLeft

December 14, 2022

Disclaimer

The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.

Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.

Copyright © 2024 insiflow.com