@jozzyofficial

JOZZY MLAKI OFFICIAL

Unknown
class="content__text"
 Tunawapongeza sana Wanawake wote ambao Wanathubutu na kufanya Mambo mbalimbali yanayowawezesha kuwa na Maisha mazuri lakini pia Kuwashika mkono watu wengi na Kuwavusha kutoka Sehemu moja kwenda Sehemu nyingine.

Tunawapongeza sana Wasanii wote wa Kike, Managers na wote wanaohusika na Tasnia hii ya Bongo Fleva na Wanafanya vizuri kwenye Majukumu yao.

Heri ya Siku ya Kimataifa ya Wanawake Dunia kwa kila Mwanamke ambaye anajitoa kwa Moyo mmoja kuisupport Platform ya Jozzy Media (https://jozzymedia.com) na kila anayewasupport Wasanii wa Kike kwenye Industry ya Bongo Fleva.

Imetoka kwa Jozzy Official (@jozzyofficial )
CEO & Founder of Jozzy Media.

class="content__text" Tunawapongeza sana Wanawake wote ambao Wanathubutu na kufanya Mambo mbalimbali yanayowawezesha kuwa na Maisha mazuri lakini pia Kuwashika mkono watu wengi na Kuwavusha kutoka Sehemu moja kwenda Sehemu nyingine. Tunawapongeza sana Wasanii wote wa Kike, Managers na wote wanaohusika na Tasnia hii ya Bongo Fleva na Wanafanya vizuri kwenye Majukumu yao. Heri ya Siku ya Kimataifa ya Wanawake Dunia kwa kila Mwanamke ambaye anajitoa kwa Moyo mmoja kuisupport Platform ya Jozzy Media (https://jozzymedia.com) na kila anayewasupport Wasanii wa Kike kwenye Industry ya Bongo Fleva. Imetoka kwa Jozzy Official (@jozzyofficial ) CEO & Founder of Jozzy Media.

March 08, 2023

Disclaimer

The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.

Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.

Copyright © 2024 insiflow.com