@wasafitv

Wasafi TV

Tanzania

Instagram posts and videos uploaded by wasafitv

wasafitv

#ChallengeAccepted Bashir anaungana na George kupeleka Maua ya Mama Dodoma kwa kuendesha Baiskeli yake hadi Dodoma. #MauaYaMama tukutane #Dodoma siku ya Valentines @maua_ya_mama

February 10, 2024

wasafitv

MODEL CASTING 2024 FOR LADY IN RED • Dondosha Comment Yako Kwa Models Hawa On Stage !! #LadyInRedFashionShow #ModelsCasting2024

February 10, 2024

wasafitv

JE, Unawapa Asilimia Ngapi Models Hawa ? MODEL CASTING 2024 FOR LADY IN RED • . FREE ENTRANCE! | 📍@warehouse.tz (Masaki) LIVE ON | Wasafi Media (YouTube) 🎥:@thisispizo #AfricaIsWatching #WasafiDigital

February 10, 2024

wasafitv

. . Je, Unawapa Asilimia Ngapi ? FREE ENTRANCE! | 📍@warehouse.tz (Masaki) LIVE ON | Wasafi Media (YouTube) 🎥:@thisispizo #AfricaIsWatching #WasafiDigital

February 10, 2024

wasafitv

. . Its All About Food Meets Fashion x Model Casting 2024 for Lady in Red 2024 FREE ENTRANCE! | 📍@warehouse.tz (Masaki) LIVE ON | Wasafi Media (YouTube) 🎥:@thisispizo #AfricaIsWatching #WasafiDigital

February 10, 2024

wasafitv

Muonekano Wa Warehouse (Masaki) Kwenye Zoezi La Kutafuta Models 🔥 Wa Lady In Red Fashion Show 🙌 #WasafiDigital

February 10, 2024

wasafitv

Ngoma Ya Msanii Shakti Aliyemshinda Davido, Burna Boy, Susana Baca & Bokante Kwenye Tuzo Za Grammy Kipengele Cha “Best Global Album”. Shakti Ameshinda Tuzo Hiyo Kwa Album Yake Iitwayo “This Moment” Huku Burna Boy, Davido Na Wengine Wakidondokea Pua Hivyo Hiyo Ni Moja Kati Ya Ngoma Iliyopo Kwenye Album Ya Msanii Shakti JE, Ipi Ni Global Album Kati Ya Hizo Na Unadhani Grammy Wamezingatia Nini ? 😂 ✍🏽:#TRIGGAH (@officialtriggah_ ) #africaswatching #WasafiDigital

February 06, 2024

wasafitv

This year’s #GRAMMYs had 16.9 million viewers, up 34% from last year. _______________________________________ Tuzo za 66 za Grammy zilizofanyika Jumapili hii zinaripotiwa kupata ungezeko kubwa la watazamaji ukilinganisha na misimu iliyopita. Inaelezwa kuwa Grammys ya mwaka huu ilipata idadi ya watazamaji milioni 16.9 na kuwa msimu ulioangazia maonyesho na matukio kadhaa ya hali ya juu. Hii inaashiria kuboreshwa kwa 34% kutoka kwa onyesho la mwaka jana, ambalo lilifikia watazamaji milioni 12.4, na kuwa sherehe ya Grammys iliyotazamwa zaidi tangu 2020. ✍:#TRIGGAH (@officialtriggah_ ) #AfricaIsWatching #WasafiDigital

February 06, 2024

wasafitv

. . Msanii Wa Bongo Fleva @chino_kidd7 Ameweka Sababu Ya Ugomvi Wake Na @marioo_tz Ambapo Anasema Kwamba Alitukanwa Matusi Makubwa Alivyoi-Post Picha Ya Marioo Kwamba Atakuwepo Kwenye Show Yake Ya Jumamosi !! Sponsored by @vodacomtanzania INGIA YOUTUBE KATIKA CHANNEL YETU YA #WASAFIMEDIA ILI KUTAZAMA ZAIDI Host: @nickmillz._ #AfricaIsWatching #WasafiDigital

February 06, 2024

wasafitv

Leo katika ulimwengu wa kihistoria iliandikwa kwa mara ya kwanza nchini Australia Feb 06 ya mwaka 1987 ambapo Jaji Mary Gaudron anaweka kumbukumbu ya kuwa mwanamke wa kwanza kuteuliwa kushika nafasi katika Mahakama Kuu nchini humo. #LeoKatiaHistoria na @mustaphamussa25

February 06, 2024

wasafitv

Do y’all think @TravisScott 🇺🇸 got played by the #GRAMMYs⁉️ Should #UTOPIA have won? 🤔 ______________________________ Mwamba Huyu Hapa! Travis Scott Alivyoivunja Na Kuiharibu Stage Ya Grammys Baada Ya Kukosa Tuzo Zao Kwa Mara Ya 10 (Fein...Fein....Ouuuh Fein Fein Fein Fein Oouuh) 🎶😔 ✍:#TRIGGAH (@officialtriggah_) #AfricaIsWatching #WasafiDigital #TravisScott

February 05, 2024

wasafitv

Mashabiki Wa Nigeria Bado Hawaamini Matokeo Ya Tuzo Ya Grammy Usiku Wa Kuamkia Leo Ambapo Wasanii Wao Wameondoka Kapa Bila Kuambulia Tuzo Yoyote Hivyo mashabiki Hao Wameamua Kuchukua Hatua Ya Kui-Report Akaunti Ya Instagram Ya Grammy Kwasababu Ya Wasanii Wao Waliokuwa Wakiwatarajia Kushinda Kama Burna Boy, Davido N.k Kukosa Tuzo Wakidai Kwamba Wameonewa Davido Amekosa Vipengele vyote Vitatu (3) Alivyokuwa Akiwania Na Burna Boy Amekosa Vipengele vyote vinne (4) Usiku wa kuamkia leo Katika Tuzo Hizo Za Grammy. SWIPE🎥 Una Kipi Cha Kuwaambia Mashabiki Wa Nigeria ? 🤣 ✍:#TRIGGAH (@officialtriggah_ ) #AfricaIsWatching #WasafiDigital

February 05, 2024

wasafitv

. . Halafu @eliudsamwel Anasema Baba akimwambia Mama kuwa fanya Maarifa, Ujue Hakuna Kitu Na @headmaster_comedian Anasisitiza Kazi ya Mungu tungepewa Wanadamu 🤣 Ungana na sisi Tarehe 01/10/2021 | Mlimani City twende kupata mshindi wa kihistoria wa Cheka Tu Comedy Search tickets zinapatikana sehemu zifuatazo Cheka 2 (vituo) 1. Vunja Bei (Sinza) 2. Mack Juice (sinza) 3. Esma Platnumz (sinza) 4. Wasafi Tv (Mbezi Beach) 5. Nilipe App 6. Samaki Samaki (Mlimani City) 7. @DM_Cafe&bakery Powered By : @wasafitv 📺 #ChekaTuComedySearch #ChekaTu #AfricaIsWatching

September 29, 2021

wasafitv

NANI KUIBUKA MSHINDI ? 🏆 Kisha Ungana na sisi Tarehe 01/10/2021 | Mlimani City twende kupata mshindi wa kihistoria wa Cheka Tu Comedy Search tickets zinapatikana sehemu zifuatazo Cheka 2 (vituo) 1. Vunja Bei (Sinza) 2. Mack Juice (sinza) 3. Esma Platnumz (sinza) 4. Wasafi Tv (Mbezi Beach) 5. Nilipe App 6. Samaki Samaki (Mlimani City) 7. @DM_Cafe&bakery Powered By : @wasafitv 📺 #ChekaTuComedySearch #ChekaTu #AfricaIsWatching

September 29, 2021

Similar accounts

zarithebosslady

12m followers

@zarithebosslady
wemasepetu

11.3m followers

@wemasepetu
hamisamobetto

10.9m followers

@hamisamobetto
rayvanny

9.9m followers

@rayvanny
ireneuwoya8

8.3m followers

@ireneuwoya8
ommydimpoz

7.9m followers

@ommydimpoz
mangekimambi_

7.8m followers

@mangekimambi_
kajalafrida

7.4m followers

@kajalafrida
harmonize_tz

7.3m followers

@harmonize_tz
wasafitv

7.1m followers

@wasafitv
zamaradimketema

6.9m followers

@zamaradimketema
officiallinah

6.9m followers

@officiallinah

Disclaimer

The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.

Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.

Copyright © 2024 insiflow.com