Ngoma Ya Msanii Shakti Aliyemshinda Davido, Burna Boy, Susana Baca & Bokante Kwenye Tuzo Za Grammy Kipengele Cha “Best Global Album”. Shakti Ameshinda Tuzo Hiyo Kwa Album Yake Iitwayo “This Moment” Huku Burna Boy, Davido Na Wengine Wakidondokea Pua Hivyo Hiyo Ni Moja Kati Ya Ngoma Iliyopo Kwenye Album Ya Msanii Shakti JE, Ipi Ni Global Album Kati Ya Hizo Na Unadhani Grammy Wamezingatia Nini ? 😂 ✍🏽:#TRIGGAH (@officialtriggah_ ) #africaswatching #WasafiDigital
February 06, 2024
Disclaimer
The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.
Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.
Contact