@wasafitv

Wasafi TV

Tanzania
This year’s #GRAMMYs had 16.9 million viewers, up 34% from last year.
_______________________________________

Tuzo za 66 za Grammy zilizofanyika Jumapili hii zinaripotiwa kupata ungezeko kubwa la watazamaji ukilinganisha na misimu iliyopita. Inaelezwa kuwa Grammys ya mwaka huu ilipata idadi ya watazamaji milioni 16.9 na kuwa msimu ulioangazia maonyesho na matukio kadhaa ya hali ya juu.

Hii inaashiria kuboreshwa kwa 34% kutoka kwa onyesho la mwaka jana, ambalo lilifikia watazamaji milioni 12.4, na kuwa  sherehe ya Grammys iliyotazamwa zaidi tangu 2020.

✍:#TRIGGAH (@officialtriggah_ )

#AfricaIsWatching #WasafiDigital

This year’s #GRAMMYs had 16.9 million viewers, up 34% from last year. _______________________________________ Tuzo za 66 za Grammy zilizofanyika Jumapili hii zinaripotiwa kupata ungezeko kubwa la watazamaji ukilinganisha na misimu iliyopita. Inaelezwa kuwa Grammys ya mwaka huu ilipata idadi ya watazamaji milioni 16.9 na kuwa msimu ulioangazia maonyesho na matukio kadhaa ya hali ya juu. Hii inaashiria kuboreshwa kwa 34% kutoka kwa onyesho la mwaka jana, ambalo lilifikia watazamaji milioni 12.4, na kuwa sherehe ya Grammys iliyotazamwa zaidi tangu 2020. ✍:#TRIGGAH (@officialtriggah_ ) #AfricaIsWatching #WasafiDigital

February 06, 2024

Disclaimer

The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.

Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.

Copyright © 2024 insiflow.com