@wasafitv

Wasafi TV

Tanzania
Mashabiki Wa Nigeria Bado Hawaamini Matokeo Ya Tuzo Ya Grammy Usiku Wa Kuamkia Leo Ambapo Wasanii Wao Wameondoka Kapa Bila Kuambulia Tuzo Yoyote 

Hivyo mashabiki Hao Wameamua Kuchukua Hatua Ya Kui-Report Akaunti Ya Instagram Ya Grammy Kwasababu Ya Wasanii Wao Waliokuwa Wakiwatarajia Kushinda Kama Burna Boy, Davido N.k Kukosa Tuzo Wakidai Kwamba Wameonewa 

Davido Amekosa Vipengele vyote Vitatu (3) Alivyokuwa Akiwania Na Burna Boy Amekosa Vipengele vyote vinne (4) Usiku wa kuamkia leo Katika Tuzo Hizo Za Grammy. SWIPE🎥

Una Kipi Cha Kuwaambia Mashabiki Wa Nigeria ? 🤣

✍:#TRIGGAH (@officialtriggah_ )

#AfricaIsWatching #WasafiDigital

Mashabiki Wa Nigeria Bado Hawaamini Matokeo Ya Tuzo Ya Grammy Usiku Wa Kuamkia Leo Ambapo Wasanii Wao Wameondoka Kapa Bila Kuambulia Tuzo Yoyote Hivyo mashabiki Hao Wameamua Kuchukua Hatua Ya Kui-Report Akaunti Ya Instagram Ya Grammy Kwasababu Ya Wasanii Wao Waliokuwa Wakiwatarajia Kushinda Kama Burna Boy, Davido N.k Kukosa Tuzo Wakidai Kwamba Wameonewa Davido Amekosa Vipengele vyote Vitatu (3) Alivyokuwa Akiwania Na Burna Boy Amekosa Vipengele vyote vinne (4) Usiku wa kuamkia leo Katika Tuzo Hizo Za Grammy. SWIPE🎥 Una Kipi Cha Kuwaambia Mashabiki Wa Nigeria ? 🤣 ✍:#TRIGGAH (@officialtriggah_ ) #AfricaIsWatching #WasafiDigital

February 05, 2024

Disclaimer

The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.

Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.

Copyright © 2024 insiflow.com