@mangekimambi_

Mange Kimambi

Tanzania

Instagram posts and videos uploaded by mangekimambi_

mangekimambi_

2 years ago today I lost a piece of my heart…. The pain is still raw… I still can’t believe she is gone and never coming back….. I love you always @mwelentuli . Continue to R.I.P mama.

February 10, 2024

mangekimambi_

Laizer was Wasafi achafua hali ya hela….. . . Kama uko Tanzania ni lazima utumie VPN ili uweze kupata habari zetu kwa kutumia Mange Kimambi App. Fata steps Hizi kutumia Mange Kimambi App. 1. Ingia playstore au AppStore ikisha DOWNLOAD VPN na kisha washa/ connect VPN yako. Kuna vpn nyingi za bure playstore nashauri utumie , TURBO VPN, THUNDER VPN, psiphon vpn, SuperVpn, FREE VPN, ProtonVPN, Wakanda, TomatoVPN etc watu wa iphone download VPN inaitwa 1.1.1.1 warp, TURBO VPN FAST VPN, PROXY MASTER VPN, WINDSCRIBE au Documents. Ukisha download VPN hakikisha unaiwasha. 2. Huku VPN yako ikiwa ON, ingia Playstore/ AppStore ikisha search Mange Kimambi App ili uweze kudownload App yetu. 3.Baada ya kudownload app , Tafadhali angalia video ya kwanza kabisa iliyopiniwa kwenye profile yangu hapa Instagram au video iliyopo kwenye page ya malipo (Kwenye App) ili ujue jinsi ya kufanya malipo kwenye App. Tafadhali kumbuka kuzima VPN unapofika kwenye page ya kufanya malipo ili uweze kuletewa options za malipo ya simu (kwa watumiaji wa android) Video ya maelekezo imeeonyesha na kuelezea vizuri. Kama unahitaji msaada zaidi wasiliana na mtu wetu wa techical kupitia telegram tuma message +1 310 866 1904

February 10, 2024

mangekimambi_

Huwa najaribu sana ku ignore habari za huyu mtu maana huwa zinanipandisha pressure…. . Ndo maana aliporudishwa niliwaambia humu kuwa darkness is coming back….. . Here is he is once again showing his true colors. Haya huyu aliongea hapa ndio Bashite ninemjua mimi. Toka enzi za Magu, jamaa anajiona yeye ndio sheria yeye ndio kila kitu. Imagine kiongozi wa CCm anawaambia Watanzania wasiende mahakamani? 😭😭😭😭 . Ndo maana Lissu alipowashinda aliamua kujichukulia jukumu la kwenda Dodoma na kumpiga risasi Lissu maana yeye huwa ana solve matatizo kihivyo…. . . It’s sad kwamba Watanzania hatujifunzi…. . Anyways, naomba nimalizie kwa kuwaambia viongozi wa CCM kuwa mmekaa mnamwangalia Bashite anachukua spotlight na maujinga yake, one day you will all regret this….. Huyu ndo anaandaliwa na nnawaambieni mapema tu mtakuja ku regret mnooooooo jinsi mnavyokaa kimya right now na kumwacha Bashite ajijengee legitimacy wakati ni jangili tu.

February 10, 2024

mangekimambi_

PART 2 iko hewani, na ni ya moto 🔥🔥🔥🔥….Jamani eeeh hii inteview @hamisamobetto kafunguka mpaka kafunguka tena. Kaongea ukweli wake. Issue ya DNA kaielezea in details. Mkemia Mkuu wa serikali alishaimaliza kesi ya DNA ya Dylan na Diamond siku nyingi tu. Diamond ni mwanaume alieamua kumtelekeza mtoto wake kama wanaume wengine ambao ni deadbeats. NJOO USIKILIZE HII INTERVIEW THEN MAKE UP YOUR OWN MIND BILA KUINGIZA U-TEAM WALA NINI. HIVI MKEMIA MKUU WA SERIKALI ANAKUPA MAJIBU KUWA kWa 99.9% MTOTO NI WAKO NA BADO UNAJITIA HUNA UHAKIKA? YULE KIJANA HANA UBINADAMU… SERIKALI ILISHAMLIZA HII KESI. KAMA VIPI MWAMBIENI @diamondplatnumz ASEME KAMA MKEMIA MKUU WA SERIKALI HAJAMUHAKIKISHIA MTOTO NI WAKE????? AJIBU HILO!!!! . . Haya njoo kwenye app

February 09, 2024

mangekimambi_

Haya jamani kazi kwenu PART 1 of @hamisamobetto exclusive interview is live and direct on Mange Kimambi App…… HAYA JAMANI IKO HEWANI….. . . . Nyie mbwa wa YouTube na tiktok wenye hamu ya kufungiwa vi account vyenu leteni shobo muone. Nawaripoti fastaaa for copyright infringement alafu muanze kunililia niondoe claim muone, sitoona huruma. Sijui why huwa mnawashwa content zangu?? Jamani ukikuta mtu kaposti content yangu sehemu naomba nitumie link WhatsApp +1 424-537-3057

February 08, 2024

mangekimambi_

Ofcourse mi na mdogo wangu @hamisamobetto had to jump in kwenye wimbo wa taifa, ngoma ya mwaka…….. Dah by @officialnandy and my forever king 👑👑👑👑 @officialalikiba . . This is the official 2024 Valentine’s song…….. . Hii nyimbo NYIEEEE

February 05, 2024

mangekimambi_

Are you ready for interview ya kufungulia mwaka??? Jamani interview ni nzuri mnooooooooooo, yani @hamisamobetto kafunguka mpaka kafunguka tenaaaa… Kila mlichotaka kujua amejibu… Interview ni ya 3 hours maana tumeanza mbali mnoooo…. Kutakuwa na parts 1-3… . Nasema hivi kama hauko kwenye app hii wiki aisee utalia mpaka utajipiga piga chini ..

February 05, 2024

mangekimambi_

Tanzania’s biggest female celebrity @hamisamobetto is about to Fungukaaaaaaaaaaaaaa . . Nasema hivi kama hauko kwenye app wiki hiii utalia mpaka utajipiga piga chini

February 04, 2024

mangekimambi_

Kaeni mlo wa kula, Tanzania’s biggest female celebrity @hamisamobetto X Dada wa Taifa @mangekimambi_ . . Alafu nasikia eti kuna picha zimefutwa huko????NYIEEEEE!!!!!!!!

February 04, 2024

mangekimambi_

@_.niffer._ Mdogo wangu hapa acha kabisaaaaaa, katoe msaada kwa wenye huitaji, wako wengi mnoooo. I learnt the hard way…….Nilimtoa mmoja kutoka Malaysia mpaka bongo baada ya video yake kusambaa akiwa anaomba msaada na sasa karudi zake kazini full time 😭 . Yani huyo uliemposti hapo hata umpe mtaji after sometime atarudi kazini kama kawa, wenzio wanaona kulala chali ndio njia rahisi zaidi ya kupata pesa hayo ya kujituma hawayawezi. Wanaipendaw ajira yao ya kulala chali. . . Ni vile tu Le Kibamiaz yuko huko udongoni kidudu chake kinatafunwa na mchwa ila angekuwa hai sijui ningeweka wapi uso wangu…..Msichana alijua kunivua nguo yuleeeeee, haki Kibamiaz angechekaaaaa hadi ajambe…. . . Kilichoniumazaidi sasa hivi akiulizwa why karudi kujiuza anasema huyo Mange alinipa hela ndogo ingenisaidia nini? İla najiuliza why hakurudi kuniambia dada hela ndogo nisaidie zaidi nifanye hiki au kile? Mind you hapo nishampa na idea ya biashara ya kufanya na nikamwambia ntakuwa naipa promo hiyo bishara yake. Nilimwambia afungue mama ntilie, ntasaidia kuikuza hiyo biashara kwa promo. Hakurudi kuomba msaada woote alipotea zake tu akarudi kuuza K na nyuma. Yani kwa kifupi yule Rachel wa Malaysia nilimsaidia tu kuhamisha ofisi yake ya kazı kutoka Malaysia mpaka Bongo… NYIEEEEEE!!!!! . . Yani sasa hivi mtu akitaka nimtukane matusi ni aniambie habari za kumsaidia Malaya. Na juzi natafutwa eti oooh kuna mmoja yuko nje Uturuki hana pakulala na kuna baridi, anaomba ticket arudi bongo, uwiiii niliwauliza bado ana hema huko nje? Wakasema ndio, nikawaambia basi nitafuteni akisha kata roho niwachangie $5 ya kusafirisha…. . We Rachel alinikomesha, staki kusikia kuhusu kusaidia malaya mimi.Alafu mimi sijawahi sijawahi saidia malaya ila huyu @official_prettykind alinitumia voice note analia kama kafiwa ananiomba nimsadie Rachel, huruma ikaniingia. . . @_.niffer._ Kuna watoto wana kansa pale Muhimbili wanatia huruma na wazazi wanatoka mikoani huko hawana hata pakulala wanalala nje pale Muhimbili. Peleka huko msaada wako. Mi ndo najipanga nikasaidie huko. Ila hao malaya sugu hawanipati tena ng’oo….

February 03, 2024

mangekimambi_

Tafadhali angalia kwa makini video hii. Haya ni maelekezo ya jinsi ya kufanya malipo kwenye Mange Kimambi App. . Kwa watumiaji wa android mnaopata tatizo la white screen au black screen tafadhali update system yako ya android, alafu update app yako ya google chrome. . Kama bado utahitaji msaada tafadhali wasiliana na mtu wetu wa technical support kupitia telegram, tafadhali mtumie message +1 310 866 1904

January 24, 2024

mangekimambi_

COMING SOON!!!Dulvani A.K.A nyuki kahamia @mangekimambi___app. Kipindi kitaruka kila siku kuanzia Jumatatu mpaka Ijumaa…. Sasa kazi kwako. Washa VPN hiyooooo…… . . Kama hujui kutumia VPN rudi posti ya nyuma. . . Kudownload App yetu kutoka AppStore au playstore utahitaji kuwasha VPN yako. Kupata maelekezo ya kuwasha VPN angalia post inayofuata…. . . Kama App yako inakupa tatizo lolote ile Tafadhali fuata njia hizi. 1. Download VPN, Kuna vpn nyingi za bure playstore kama Wakanda vpn, SuperVpn, TomatoVPN etc 2. Futa app uliyonayo, download app yetu mpya 3. Kama step ya kwanza na ya pili haikutatua tatizo lako Tafadhali wasiliana na mtu wa techical +1 (323) 814-7211

May 06, 2022

mangekimambi_

Video ya mama Lola akiwa deep kwenye PENZI jipya Iko kwenye App tayari. . . Kama App yako inakupa tatizo lolote ile Tafadhali fuata njia hizi. 1. Download VPN, Kuna vpn nyingi za bure playstore kama Wakanda vpn, SuperVpn, TomatoVPN etc 2. Futa app uliyonayo, download app yetu mpya 3. Kama step ya kwanza na ya pili haikutatua tatizo lako Tafadhali wasiliana na mtu wa techica

May 06, 2022

mangekimambi_

Kuna breaking news ya Harmonize kwenye App. Wahiiii…. . . Kama App yako inakupa tatizo lolote ile Tafadhali fuata njia hizi. 1. Download VPN, Kuna vpn nyingi za bure playstore kama Wakanda vpn, SuperVpn, TomatoVPN etc 2. Futa app uliyonayo, download app yetu mpya 3. Kama step ya kwanza na ya pili haikutatua tatizo lako Tafadhali wasiliana na mtu wa techical +1 (323) 814-7211

May 06, 2022

Similar accounts

zarithebosslady

12m followers

@zarithebosslady
wemasepetu

11.3m followers

@wemasepetu
hamisamobetto

10.9m followers

@hamisamobetto
rayvanny

9.9m followers

@rayvanny
ireneuwoya8

8.3m followers

@ireneuwoya8
ommydimpoz

7.9m followers

@ommydimpoz
mangekimambi_

7.8m followers

@mangekimambi_
kajalafrida

7.4m followers

@kajalafrida
harmonize_tz

7.3m followers

@harmonize_tz
wasafitv

7.1m followers

@wasafitv
zamaradimketema

6.9m followers

@zamaradimketema
officiallinah

6.9m followers

@officiallinah

Disclaimer

The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.

Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.

Copyright © 2024 insiflow.com