@mangekimambi_

Mange Kimambi

Tanzania
PART 2 iko hewani, na ni ya moto 🔥🔥🔥🔥….Jamani  eeeh hii inteview @hamisamobetto kafunguka mpaka kafunguka tena. Kaongea ukweli wake. Issue ya DNA kaielezea in details. Mkemia Mkuu wa serikali alishaimaliza kesi ya DNA ya Dylan na Diamond siku nyingi tu. Diamond ni mwanaume alieamua kumtelekeza mtoto wake kama wanaume wengine ambao ni deadbeats. 

NJOO USIKILIZE HII INTERVIEW THEN MAKE UP YOUR OWN MIND BILA KUINGIZA U-TEAM WALA NINI. HIVI MKEMIA MKUU WA SERIKALI ANAKUPA MAJIBU KUWA kWa 99.9%  MTOTO NI WAKO NA BADO UNAJITIA HUNA UHAKIKA? YULE KIJANA HANA UBINADAMU… SERIKALI ILISHAMLIZA HII KESI. KAMA VIPI MWAMBIENI @diamondplatnumz  ASEME KAMA MKEMIA MKUU WA SERIKALI HAJAMUHAKIKISHIA MTOTO NI WAKE????? AJIBU HILO!!!! 
.
.
Haya njoo kwenye app

PART 2 iko hewani, na ni ya moto 🔥🔥🔥🔥….Jamani eeeh hii inteview @hamisamobetto kafunguka mpaka kafunguka tena. Kaongea ukweli wake. Issue ya DNA kaielezea in details. Mkemia Mkuu wa serikali alishaimaliza kesi ya DNA ya Dylan na Diamond siku nyingi tu. Diamond ni mwanaume alieamua kumtelekeza mtoto wake kama wanaume wengine ambao ni deadbeats. NJOO USIKILIZE HII INTERVIEW THEN MAKE UP YOUR OWN MIND BILA KUINGIZA U-TEAM WALA NINI. HIVI MKEMIA MKUU WA SERIKALI ANAKUPA MAJIBU KUWA kWa 99.9% MTOTO NI WAKO NA BADO UNAJITIA HUNA UHAKIKA? YULE KIJANA HANA UBINADAMU… SERIKALI ILISHAMLIZA HII KESI. KAMA VIPI MWAMBIENI @diamondplatnumz ASEME KAMA MKEMIA MKUU WA SERIKALI HAJAMUHAKIKISHIA MTOTO NI WAKE????? AJIBU HILO!!!! . . Haya njoo kwenye app

February 09, 2024

Disclaimer

The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.

Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.

Copyright © 2024 insiflow.com