Huwa najaribu sana ku ignore habari za huyu mtu maana huwa zinanipandisha pressure…. . Ndo maana aliporudishwa niliwaambia humu kuwa darkness is coming back….. . Here is he is once again showing his true colors. Haya huyu aliongea hapa ndio Bashite ninemjua mimi. Toka enzi za Magu, jamaa anajiona yeye ndio sheria yeye ndio kila kitu. Imagine kiongozi wa CCm anawaambia Watanzania wasiende mahakamani? 😭😭😭😭 . Ndo maana Lissu alipowashinda aliamua kujichukulia jukumu la kwenda Dodoma na kumpiga risasi Lissu maana yeye huwa ana solve matatizo kihivyo…. . . It’s sad kwamba Watanzania hatujifunzi…. . Anyways, naomba nimalizie kwa kuwaambia viongozi wa CCM kuwa mmekaa mnamwangalia Bashite anachukua spotlight na maujinga yake, one day you will all regret this….. Huyu ndo anaandaliwa na nnawaambieni mapema tu mtakuja ku regret mnooooooo jinsi mnavyokaa kimya right now na kumwacha Bashite ajijengee legitimacy wakati ni jangili tu.
February 10, 2024
Disclaimer
The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.
Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.
Contact