@mangekimambi_

Mange Kimambi

Tanzania
@_.niffer._ Mdogo wangu  hapa acha kabisaaaaaa, katoe msaada kwa wenye huitaji, wako wengi mnoooo. I learnt the hard way…….Nilimtoa mmoja kutoka Malaysia mpaka bongo baada ya video yake kusambaa akiwa anaomba msaada na sasa karudi zake kazini full time 😭
.
Yani huyo uliemposti hapo hata umpe mtaji after sometime atarudi kazini kama kawa, wenzio wanaona kulala chali ndio njia rahisi zaidi ya kupata pesa hayo ya kujituma hawayawezi. Wanaipendaw ajira yao ya kulala chali.
.
.
Ni vile tu Le Kibamiaz yuko huko udongoni kidudu chake kinatafunwa na mchwa ila angekuwa hai sijui ningeweka wapi uso wangu…..Msichana alijua kunivua nguo yuleeeeee, haki Kibamiaz angechekaaaaa hadi ajambe….
.
.
Kilichoniumazaidi sasa hivi akiulizwa why karudi kujiuza anasema huyo Mange alinipa hela ndogo ingenisaidia nini? İla najiuliza why hakurudi kuniambia dada hela ndogo nisaidie zaidi nifanye hiki au kile? Mind you hapo nishampa na idea ya biashara ya kufanya na nikamwambia ntakuwa naipa promo hiyo bishara yake. Nilimwambia afungue mama ntilie, ntasaidia kuikuza hiyo biashara kwa promo. Hakurudi kuomba msaada woote alipotea zake tu akarudi kuuza K na nyuma. Yani kwa kifupi yule Rachel wa Malaysia nilimsaidia tu kuhamisha ofisi yake ya kazı kutoka Malaysia mpaka Bongo… NYIEEEEEE!!!!! 
.
.
Yani sasa hivi mtu akitaka nimtukane matusi ni aniambie habari za kumsaidia Malaya. Na juzi natafutwa eti oooh kuna mmoja yuko nje Uturuki hana pakulala na kuna baridi, anaomba ticket arudi bongo, uwiiii niliwauliza bado ana hema huko nje? Wakasema ndio, nikawaambia basi nitafuteni akisha kata roho niwachangie $5 ya kusafirisha….
.
We Rachel alinikomesha, staki kusikia kuhusu kusaidia malaya mimi.Alafu  mimi sijawahi sijawahi saidia malaya ila huyu @official_prettykind alinitumia voice note analia kama kafiwa ananiomba nimsadie Rachel, huruma ikaniingia. 
.
.
@_.niffer._  Kuna watoto wana kansa pale Muhimbili wanatia huruma na wazazi wanatoka mikoani huko hawana hata pakulala wanalala nje pale Muhimbili. Peleka huko msaada wako. Mi ndo najipanga nikasaidie huko. Ila hao malaya sugu hawanipati tena ng’oo….

@_.niffer._ Mdogo wangu hapa acha kabisaaaaaa, katoe msaada kwa wenye huitaji, wako wengi mnoooo. I learnt the hard way…….Nilimtoa mmoja kutoka Malaysia mpaka bongo baada ya video yake kusambaa akiwa anaomba msaada na sasa karudi zake kazini full time 😭 . Yani huyo uliemposti hapo hata umpe mtaji after sometime atarudi kazini kama kawa, wenzio wanaona kulala chali ndio njia rahisi zaidi ya kupata pesa hayo ya kujituma hawayawezi. Wanaipendaw ajira yao ya kulala chali. . . Ni vile tu Le Kibamiaz yuko huko udongoni kidudu chake kinatafunwa na mchwa ila angekuwa hai sijui ningeweka wapi uso wangu…..Msichana alijua kunivua nguo yuleeeeee, haki Kibamiaz angechekaaaaa hadi ajambe…. . . Kilichoniumazaidi sasa hivi akiulizwa why karudi kujiuza anasema huyo Mange alinipa hela ndogo ingenisaidia nini? İla najiuliza why hakurudi kuniambia dada hela ndogo nisaidie zaidi nifanye hiki au kile? Mind you hapo nishampa na idea ya biashara ya kufanya na nikamwambia ntakuwa naipa promo hiyo bishara yake. Nilimwambia afungue mama ntilie, ntasaidia kuikuza hiyo biashara kwa promo. Hakurudi kuomba msaada woote alipotea zake tu akarudi kuuza K na nyuma. Yani kwa kifupi yule Rachel wa Malaysia nilimsaidia tu kuhamisha ofisi yake ya kazı kutoka Malaysia mpaka Bongo… NYIEEEEEE!!!!! . . Yani sasa hivi mtu akitaka nimtukane matusi ni aniambie habari za kumsaidia Malaya. Na juzi natafutwa eti oooh kuna mmoja yuko nje Uturuki hana pakulala na kuna baridi, anaomba ticket arudi bongo, uwiiii niliwauliza bado ana hema huko nje? Wakasema ndio, nikawaambia basi nitafuteni akisha kata roho niwachangie $5 ya kusafirisha…. . We Rachel alinikomesha, staki kusikia kuhusu kusaidia malaya mimi.Alafu mimi sijawahi sijawahi saidia malaya ila huyu @official_prettykind alinitumia voice note analia kama kafiwa ananiomba nimsadie Rachel, huruma ikaniingia. . . @_.niffer._ Kuna watoto wana kansa pale Muhimbili wanatia huruma na wazazi wanatoka mikoani huko hawana hata pakulala wanalala nje pale Muhimbili. Peleka huko msaada wako. Mi ndo najipanga nikasaidie huko. Ila hao malaya sugu hawanipati tena ng’oo….

February 03, 2024

Disclaimer

The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.

Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.

Copyright © 2024 insiflow.com