@harriskapiga

Harris Kapiga

Tanzania

Instagram posts and videos uploaded by harriskapiga

harriskapiga

Laadan(Furaha) 3 kuzaliwa, Lennox (Shujaa)2 Kuzaliwa, Larry(Ushindi) 1, Mama yao ( Celestine) heavenly ( Ya kimbinguni) NIKUPE SIRI LEO; SIJUI KWANINI NAKWAMBIA; Nilianza kuombea Familia yangu, nikimaanisha mke na watoto wangu nikiwa kidato cha kwanza 1989! Hata sikujua wanafananaje! Nilikuwa na mwomba Mungu sana! Baada ya miaka 14, ndo nikaoa 6/12/2003; Nakiongea hiki baada ya miaka 18 ya ndoa 18+ 14=miaka 32! Kila unachotaka kiwe Anza kukiandaa leo kwenye Ulimwengu wa Roho; - kama hujaoa / kuolewa Anza kuombea Familia yako! Mungu akupe anachokiona yeye kina kufaaa wewe! - kama uko kwenye ndoa tayari, Usilaumu chochote, kila unachokipitia Mshukuru Mungu: Mie bado naombea, watoto,wa watoto, wa toto wa watoto, kizazi changu chote mpaka Yesu atakaporudi; Vitu havijagi tu hivi hivi, wekeza katika Ulimwengu wa Roho! Ombea Familia yako, hata kama hujaolewa/hujaoa... Isaya 45:11 BWANA, Mtakatifu wa Israeli, na Muumba wake, asema hivi; Niulize habari za mambo yatakayokuja; mambo ya wana wangu, na habari ya kazi ya mikono yangu; haya! Niagizeni.!!!!!!

March 15, 2022

harriskapiga

Mungu anajua idadi ya Nywele zako! Kinachokufanya ukate tamaa nini? Luka 12:7 Lakini hata nywele za vichwa vyenu zimehesabiwa zote. Msiogope basi, bora ninyi kuliko mashomoro wengi. Alikujua hata kabla hujatumgwa mimba, kinachokufanya ukate tamaa ni kipi hasa weww kiumbe wa Mungu? Yeremia 1:5 Kabla sijakuumba katika tumbo nalikujua, na kabla hujatoka tumboni, nalikutakasa; nimekuweka kuwa nabii wa mataifa.!! Maarufuku, maarufuku kukataa Tamaaa! Sawaa eeee! Na nikusikie tena ooon nimakataa tamaaa ooo! Wewe wewe wewe!

March 15, 2022

harriskapiga

@isaackzake @tanzanialabourguide Ni Jumamos hiii; wewe mwajiri! Wewe unaejihusisha na Rasilimali Watu! Usikose;

March 15, 2022

harriskapiga

@rmsangi2013 @singida_golden_marathon ; Singida kuna vivutio vya Utalii; Mkalama kule, kuna ngome ilijengwa na mjerumani, kuna ma ghala ya kuwekewa chakula yalijengwa kitambo! Karibu singida!

March 15, 2022

harriskapiga

Ninachokipenda kutoka @officialjrmtita_unisex , Unadhifu wa Mazingira; amazing Tembelea mwenyewe Uone @officialjrmtita_unisex au piga simu 0745 88 41 12..

March 15, 2022

harriskapiga

Itoshe kukupa nguvu hi; Hivi unajua kuwa Hakuna anaefanana na wewe Duniani kote? Hiii ndio thamani yako Upo wewe Tu; Unajambo Ambalo unapaswa kulitoa na kuwapa watu; Mungu alikuumba una kitu chako ambacho hakuna mtu yeyote anaweza kukifanya ila ni wewe Tu; USIJIDHARAU; Jitafute na ni rahisi tu!

March 15, 2022

harriskapiga

Mwaka 2017! Bado Mungu akawa mwema kwetu; Naachilia upako huu kwako, Bwana na akukumbuke mno! Akupatie haja ya moyo wako Familia ni fungu lako, amani kwenye familia ni Fungu lako Tabasamu kwa familia yako ni haki yako! Pokea upako huu!

March 14, 2022

harriskapiga

Picha hii tulipiga 14/3/2014 Miaka minane iliopita!(8) Larry, Celestina, Harris na Lennox; Mungu anakuwazia mambo mazuri wee songa mbele tu; Yeremia 29:11 Maana nayajua mawazo ninayowawazia ninyi, asema BWANA, ni mawazo ya amani wala si ya mabaya, kuwapa ninyi tumaini siku zenu za mwisho. Mungu anakuwazia mema Songa mbelee; Kwanini ukate tamaa..

March 14, 2022

harriskapiga

Kutoka 14:15 BWANA akamwambia Musa, Mbona unanililia mimi? Waambie wana wa Israeli waendelee mbele. Kulia huku umekaaa hapo hapo haisaidii sana! Cha Muhimu Songa Mbelee! Haijalishi una hali gani! Amka hapo ukipo; Lia huku unasongaa mbele; Songa;

March 14, 2022

harriskapiga

Mlima ndo JARIBU; Wakati unateleza; NDO Mlango wa KUTOKA; 1 Wakorintho 10:13 Jaribu halikuwapata ninyi, isipokuwa lililo kawaida ya wanadamu; ila Mungu ni mwaminifu; ambaye hatawaacha mjaribiwe kupita mwezavyo; lakini pamoja na lile jaribu atafanya na mlango wa kutokea, ili mweze kustahimili. Mlango wa kutokea upo hicho unachokipitia, anaetengeneza mlango huo Ni MUNGU; Utatoka tu hapo! Utatokaa kwa Jina la YESU;

March 14, 2022

harriskapiga

Unataka nini Mungu afanye maishani mwako? 1 Yohana 5:14 Na huu ndio ujasiri tulio nao kwake, ya kuwa, tukiomba kitu sawasawa na mapenzi yake, ATUSIKIA;

March 13, 2022

harriskapiga

Ukitaka kununua kitabu changu Ubunifu; Gusa link kwenye BIO..

March 12, 2022

Similar accounts

zarithebosslady

12m followers

@zarithebosslady
wemasepetu

11.3m followers

@wemasepetu
hamisamobetto

10.9m followers

@hamisamobetto
rayvanny

9.9m followers

@rayvanny
ireneuwoya8

8.3m followers

@ireneuwoya8
ommydimpoz

7.9m followers

@ommydimpoz
mangekimambi_

7.8m followers

@mangekimambi_
kajalafrida

7.4m followers

@kajalafrida
harmonize_tz

7.3m followers

@harmonize_tz
wasafitv

7.1m followers

@wasafitv
zamaradimketema

6.9m followers

@zamaradimketema
officiallinah

6.9m followers

@officiallinah

Disclaimer

The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.

Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.

Copyright © 2024 insiflow.com