@harriskapiga

Harris Kapiga

Tanzania

 Laadan(Furaha) 3 kuzaliwa, Lennox (Shujaa)2 Kuzaliwa,
Larry(Ushindi) 1, 

Mama yao ( Celestine) heavenly ( Ya kimbinguni)

NIKUPE SIRI LEO; SIJUI KWANINI NAKWAMBIA;

Nilianza kuombea Familia yangu, nikimaanisha mke na watoto wangu nikiwa kidato cha kwanza 1989! Hata sikujua wanafananaje! Nilikuwa na mwomba Mungu sana!

Baada ya miaka 14, ndo nikaoa 6/12/2003;
Nakiongea hiki baada ya miaka 18 ya ndoa
18+ 14=miaka 32!

Kila unachotaka kiwe Anza kukiandaa leo kwenye Ulimwengu wa Roho;
- kama hujaoa / kuolewa Anza kuombea Familia yako! Mungu akupe anachokiona yeye kina kufaaa wewe!

- kama uko kwenye ndoa tayari, Usilaumu chochote, kila unachokipitia Mshukuru Mungu:

Mie bado naombea, watoto,wa watoto, wa toto wa watoto, kizazi changu chote mpaka Yesu atakaporudi; Vitu havijagi tu hivi hivi, wekeza katika Ulimwengu wa Roho! Ombea Familia yako, hata kama hujaolewa/hujaoa...

Isaya 45:11 BWANA, Mtakatifu wa Israeli, na Muumba wake, asema hivi; Niulize habari za mambo yatakayokuja; mambo ya wana wangu, na habari ya kazi ya mikono yangu; haya! Niagizeni.!!!!!!

Laadan(Furaha) 3 kuzaliwa, Lennox (Shujaa)2 Kuzaliwa, Larry(Ushindi) 1, Mama yao ( Celestine) heavenly ( Ya kimbinguni) NIKUPE SIRI LEO; SIJUI KWANINI NAKWAMBIA; Nilianza kuombea Familia yangu, nikimaanisha mke na watoto wangu nikiwa kidato cha kwanza 1989! Hata sikujua wanafananaje! Nilikuwa na mwomba Mungu sana! Baada ya miaka 14, ndo nikaoa 6/12/2003; Nakiongea hiki baada ya miaka 18 ya ndoa 18+ 14=miaka 32! Kila unachotaka kiwe Anza kukiandaa leo kwenye Ulimwengu wa Roho; - kama hujaoa / kuolewa Anza kuombea Familia yako! Mungu akupe anachokiona yeye kina kufaaa wewe! - kama uko kwenye ndoa tayari, Usilaumu chochote, kila unachokipitia Mshukuru Mungu: Mie bado naombea, watoto,wa watoto, wa toto wa watoto, kizazi changu chote mpaka Yesu atakaporudi; Vitu havijagi tu hivi hivi, wekeza katika Ulimwengu wa Roho! Ombea Familia yako, hata kama hujaolewa/hujaoa... Isaya 45:11 BWANA, Mtakatifu wa Israeli, na Muumba wake, asema hivi; Niulize habari za mambo yatakayokuja; mambo ya wana wangu, na habari ya kazi ya mikono yangu; haya! Niagizeni.!!!!!!

March 15, 2022

Disclaimer

The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.

Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.

Copyright © 2024 insiflow.com