@harriskapiga

Harris Kapiga

Tanzania
Itoshe kukupa nguvu hi;

Hivi unajua kuwa Hakuna anaefanana na wewe Duniani kote?

Hiii ndio thamani yako Upo wewe Tu;

Unajambo Ambalo unapaswa kulitoa na kuwapa watu;

Mungu alikuumba una kitu chako ambacho hakuna mtu yeyote anaweza kukifanya ila ni wewe Tu;

USIJIDHARAU; Jitafute na ni rahisi tu!

Itoshe kukupa nguvu hi; Hivi unajua kuwa Hakuna anaefanana na wewe Duniani kote? Hiii ndio thamani yako Upo wewe Tu; Unajambo Ambalo unapaswa kulitoa na kuwapa watu; Mungu alikuumba una kitu chako ambacho hakuna mtu yeyote anaweza kukifanya ila ni wewe Tu; USIJIDHARAU; Jitafute na ni rahisi tu!

March 15, 2022

Disclaimer

The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.

Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.

Copyright © 2024 insiflow.com