@harriskapiga

Harris Kapiga

Tanzania
Mungu anajua idadi ya Nywele zako! Kinachokufanya ukate tamaa nini?

Luka 12:7 Lakini hata nywele za vichwa vyenu zimehesabiwa zote. Msiogope basi, bora ninyi kuliko mashomoro wengi.

Alikujua hata kabla hujatumgwa mimba, kinachokufanya ukate tamaa ni kipi hasa weww kiumbe wa Mungu?

Yeremia 1:5 Kabla sijakuumba katika tumbo nalikujua, na kabla hujatoka tumboni, nalikutakasa; nimekuweka kuwa nabii wa mataifa.!!

Maarufuku, maarufuku kukataa Tamaaa! 
Sawaa eeee! Na nikusikie tena ooon nimakataa tamaaa ooo! Wewe wewe wewe!

Mungu anajua idadi ya Nywele zako! Kinachokufanya ukate tamaa nini? Luka 12:7 Lakini hata nywele za vichwa vyenu zimehesabiwa zote. Msiogope basi, bora ninyi kuliko mashomoro wengi. Alikujua hata kabla hujatumgwa mimba, kinachokufanya ukate tamaa ni kipi hasa weww kiumbe wa Mungu? Yeremia 1:5 Kabla sijakuumba katika tumbo nalikujua, na kabla hujatoka tumboni, nalikutakasa; nimekuweka kuwa nabii wa mataifa.!! Maarufuku, maarufuku kukataa Tamaaa! Sawaa eeee! Na nikusikie tena ooon nimakataa tamaaa ooo! Wewe wewe wewe!

March 15, 2022

Disclaimer

The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.

Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.

Copyright © 2024 insiflow.com