KiBAha ICT Innovation HUB, Kwa startups na Vijana wote wanaotaka kubuni, kujifunza zaidi na kuendeleza ubunifu/ujuzi/ujenzi wa product za ICT, hapa itakuwa nyumbani kwao, miundo mbinu ya kisasa, mafunzo, exposure- nikiwa na Mkurugenzi wa Wataalamu Toka TIC, baada ya utizama sehem ya jengo…inapokwenda kuwepo hub #KibahaFutureNiLeo
February 05, 2024
Kwa Niaba ya wakulima na wana pwani tuliopokea Matrecta Jana toka kwako, Napenda kuchukua nafasi hii kukutakia kheri ya siku ya kuzaliwa Mhe Rais @samia_suluhu_hassan Mungu akupe afya njema, akuongezee busara na hekima uzidi kutuongoza katika njia iliyo bora, akujalie maisha marefu pia ya furaha kwako pamoja na Familia yako
January 27, 2024
Natakiwa niwepo kwenye remix- na mimi nakazi Nyingi nani anisaidie mistari mitano ya kuanzia vesi? Itakayo kuwa mikali nailipia, chukuwa fursa niwafunike hawa Magwiji @johmakinitz @bienaimesol na @realjaymelody Formula Link kwa Bio Ya @johmakinitz iskilize Yote youtube alafu nipe mistari mikalia
January 26, 2024
Kila mradi ni shule, moja ya somo nimejifunza mradi mkubwa unategemea sana planning, bila plan nzuri utekelezaji utakuwa mgumu sana. Kazini pia ni darasani #ujenziWasoko la Kisasa Mlandizi
January 19, 2024
Tathimini ya matokeo ya darasa la saba na kidato cha pili, je tabia za wanafunzi waliofanya vizuri tunaweza kuziambukiza kwa wanafunzi wengine? , wanafunzi tulio wapokea kidato cha kwanza ni wanafunzi wa aina gani? Na tutahitaji mikakati ya namna gani? Itakayo fanana na vile walivyo?
January 18, 2024
Kibaha tumepima Afya ya udongo na leo nimepokea ripoti toka maabara, kilimo ni sayansi, kinaanza na kufahamu udongo wako una virutubisho kiwango gani, unakosa nini, unataka mbolea gani, kiasi gani na unafaa kwa mazao gani. Matokeo ya kazi ya Rais @samia_suluhu_hassan kwa kuongeza bajeti ya kilimo, shukrani @wizara_ya_kilimo kwa kutuwesesha kupatikana technolojia na kukamilisha kazi hii @bashehussein hatubahatishi tena kwenye kilimo
January 18, 2024
Similar accounts
Disclaimer
The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.
Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.
Contact