Kibaha tumepima Afya ya udongo na leo nimepokea ripoti toka maabara, kilimo ni sayansi, kinaanza na kufahamu udongo wako una virutubisho kiwango gani, unakosa nini, unataka mbolea gani, kiasi gani na unafaa kwa mazao gani. Matokeo ya kazi ya Rais @samia_suluhu_hassan kwa kuongeza bajeti ya kilimo, shukrani @wizara_ya_kilimo kwa kutuwesesha kupatikana technolojia na kukamilisha kazi hii @bashehussein hatubahatishi tena kwenye kilimo
January 18, 2024
Disclaimer
The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.
Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.
Contact