@nikkwapili

nikkwapili

Tanzania
KiBAha ICT Innovation HUB, Kwa startups na Vijana wote wanaotaka kubuni, kujifunza zaidi na kuendeleza ubunifu/ujuzi/ujenzi wa product za ICT, hapa itakuwa nyumbani kwao, miundo mbinu ya kisasa, mafunzo, exposure- nikiwa na Mkurugenzi wa Wataalamu Toka TIC, baada ya utizama sehem ya jengo…inapokwenda kuwepo hub 
#KibahaFutureNiLeo

KiBAha ICT Innovation HUB, Kwa startups na Vijana wote wanaotaka kubuni, kujifunza zaidi na kuendeleza ubunifu/ujuzi/ujenzi wa product za ICT, hapa itakuwa nyumbani kwao, miundo mbinu ya kisasa, mafunzo, exposure- nikiwa na Mkurugenzi wa Wataalamu Toka TIC, baada ya utizama sehem ya jengo…inapokwenda kuwepo hub #KibahaFutureNiLeo

February 05, 2024

Disclaimer

The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.

Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.

Copyright © 2024 insiflow.com