Jumatatu ni siku kama siku zingine. Kutana na Yvonne anayemuigiza Yvonne. Anza wiki yako na vibe tu na mambo yatakuwa sawa. Song: I’m in love with a Dj by @yvonne_chakachaka
February 12, 2024
CHUKUA DAKIKA CHACHE KUSOMA HII HABARI! NAITWA MARIAM MAPINDA(31), NIMEZALIWA NA SIKOSELI. MWAKA 2015 NILIPATA TATIZO LA FIGO NA BAADAE IKAGUNDULIKA NILIZALIWA NA FIGO MOJA. HOSPITALI ZA BUGANDO, KCMC, BENJAMIN MKAPA NA MUHIMBILI WOTE WALISEMA FIGO YANGU HIYO MOJA IMEFELI IPO HATUA YA 5., NIMEKUWA KWENYE TATIZO HILI LA UGONJWA WA FIGO MIAKA 10 WAKATI NAENDELEA NA MATIBABU YA SIKOSELI PIA. HADI SASA LIMEATHIRI MIFUPA YANGU KAMA UTI WA MGONGO, KIUNO, NYONGA, MAGOTI NA MIGUU.NINAPITIA MAUMIVU MAKALI SANA KUNA WAKATI SIWEZI KUTEMBEA NIKO HAPA KUOMBA MSAADA WENU WATANZANIA WENZANGU MWENYE CHOCHOTE KUNIWEZESHA KUGHARAMIA GHARAMA ZA MATIBABU YA KUPANDIKIZA FIGO AMBAYO NI SH 30,000,000/= (MILLIONI 30) NA ZAIDI KWA AJILI YA MATIBABU ATAKAEGUSWA NAOMBA MCHANGO WAKO UTUMWE KUPITIA ACCOUNTI NO:- 30510046271 NMB SPORA EDWARD NG'WANI NA MPESA:-0764248404 MARIAM MAPINDA AIRTEL MONEY:0787915603 SPORA NG'WANI @queenbeeskikoba
February 03, 2024
Napenda kuona Wanawake wanaofanya Michezo Sanaa na Utamaduni wanatambuliwa na kusherehekewa kwa namna wanavyostahili kwasababu wanastahili. Wisac Awards 2023 Kazi kazi. @mwafrikaasilia
November 06, 2023
Mechi ya pili ya nusu fainali ya #CarabaoCup kupigwa leo, Arsenal watakuwa uwanja wa nyumbani #EmiratesStadium kumenyana na #Liverpool. Katika mechi ya mkondo wa kwanza iliyofanyika #Anfield timu hizi zilitoka sare tasa. Je, leo nani kumfata Chelsea katika fainali? Mtanange huu utaruka mubashara #AzamSports2HD kuanzia saa 4:45 usiku. #SisiNiSoka #Arsenal #Liverpool #azammaxweb
January 20, 2022
Katika kuendelea kuweka misuli sawa na patashika ya ligi kuu, Yanga SC leo saa 10:00 jioni wataingia uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya Mbuni FC. Mechi hii itaruka mubashara kupitia #AzamSports1HD. #SisiNiSoka
January 19, 2022
Mkurugenzi Pepe wa The Starter @timesfmtz Jumatatu hadi Ijumaa Saa 12abh hadi 4asbh @dogo_pepe_comedian @mwasitij @mkisijr @djcobo
January 18, 2022
Mechi ya pili ya nusu fainali ya #CarabaoCup kupigwa Alhamis hii, Arsenal watakuwa uwanja wa nyumbani #EmiratesStadium kumenyana na #Liverpool. Katika mechi ya mkondo wa kwanza iliyofanyika #Anfield timu hizi zilitoka sare tasa. Je, Alhamis hii ni nani kumfata Chelsea katika fainali? Mtanange huu utaruka mubashara #AzamSports2HD kuanzia saa 4:45 usiku. #SisiNiSoka #Arsenal #Liverpool #azammaxweb
January 18, 2022
Similar accounts
Disclaimer
The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.
Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.
Contact