@monalisatz

Cherrie Y. K

Tanzania
CHUKUA DAKIKA CHACHE KUSOMA HII

HABARI! NAITWA MARIAM MAPINDA(31), NIMEZALIWA NA SIKOSELI.
MWAKA 2015 NILIPATA TATIZO LA FIGO NA
BAADAE IKAGUNDULIKA NILIZALIWA NA FIGO MOJA.
HOSPITALI ZA BUGANDO, KCMC, BENJAMIN MKAPA NA MUHIMBILI WOTE WALISEMA FIGO
YANGU HIYO MOJA IMEFELI IPO HATUA YA 5., NIMEKUWA KWENYE TATIZO HILI LA UGONJWA WA
FIGO MIAKA 10 WAKATI NAENDELEA NA MATIBABU YA SIKOSELI PIA. HADI SASA LIMEATHIRI MIFUPA
YANGU KAMA UTI WA MGONGO, KIUNO, NYONGA, MAGOTI NA MIGUU.NINAPITIA MAUMIVU MAKALI
SANA KUNA WAKATI SIWEZI KUTEMBEA
NIKO HAPA KUOMBA MSAADA WENU WATANZANIA WENZANGU MWENYE CHOCHOTE KUNIWEZESHA
KUGHARAMIA GHARAMA ZA MATIBABU YA
KUPANDIKIZA FIGO AMBAYO NI SH 30,000,000/= (MILLIONI 30) NA ZAIDI KWA AJILI YA  MATIBABU

ATAKAEGUSWA NAOMBA MCHANGO WAKO UTUMWE KUPITIA
ACCOUNTI NO:- 30510046271 NMB SPORA EDWARD NG'WANI NA
MPESA:-0764248404 MARIAM MAPINDA
AIRTEL MONEY:0787915603 SPORA NG'WANI 

@queenbeeskikoba

CHUKUA DAKIKA CHACHE KUSOMA HII HABARI! NAITWA MARIAM MAPINDA(31), NIMEZALIWA NA SIKOSELI. MWAKA 2015 NILIPATA TATIZO LA FIGO NA BAADAE IKAGUNDULIKA NILIZALIWA NA FIGO MOJA. HOSPITALI ZA BUGANDO, KCMC, BENJAMIN MKAPA NA MUHIMBILI WOTE WALISEMA FIGO YANGU HIYO MOJA IMEFELI IPO HATUA YA 5., NIMEKUWA KWENYE TATIZO HILI LA UGONJWA WA FIGO MIAKA 10 WAKATI NAENDELEA NA MATIBABU YA SIKOSELI PIA. HADI SASA LIMEATHIRI MIFUPA YANGU KAMA UTI WA MGONGO, KIUNO, NYONGA, MAGOTI NA MIGUU.NINAPITIA MAUMIVU MAKALI SANA KUNA WAKATI SIWEZI KUTEMBEA NIKO HAPA KUOMBA MSAADA WENU WATANZANIA WENZANGU MWENYE CHOCHOTE KUNIWEZESHA KUGHARAMIA GHARAMA ZA MATIBABU YA KUPANDIKIZA FIGO AMBAYO NI SH 30,000,000/= (MILLIONI 30) NA ZAIDI KWA AJILI YA MATIBABU ATAKAEGUSWA NAOMBA MCHANGO WAKO UTUMWE KUPITIA ACCOUNTI NO:- 30510046271 NMB SPORA EDWARD NG'WANI NA MPESA:-0764248404 MARIAM MAPINDA AIRTEL MONEY:0787915603 SPORA NG'WANI @queenbeeskikoba

February 03, 2024

Disclaimer

The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.

Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.

Copyright © 2024 insiflow.com