@monalisatz

Cherrie Y. K

Tanzania
Mechi ya pili ya nusu fainali ya #CarabaoCup kupigwa Alhamis hii, Arsenal watakuwa uwanja wa nyumbani #EmiratesStadium kumenyana na #Liverpool.

Katika mechi ya mkondo wa kwanza iliyofanyika #Anfield timu hizi zilitoka sare tasa.

Je, Alhamis hii ni nani kumfata Chelsea katika fainali?

Mtanange huu utaruka mubashara #AzamSports2HD kuanzia saa 4:45 usiku.

#SisiNiSoka #Arsenal #Liverpool #azammaxweb

Mechi ya pili ya nusu fainali ya #CarabaoCup kupigwa Alhamis hii, Arsenal watakuwa uwanja wa nyumbani #EmiratesStadium kumenyana na #Liverpool. Katika mechi ya mkondo wa kwanza iliyofanyika #Anfield timu hizi zilitoka sare tasa. Je, Alhamis hii ni nani kumfata Chelsea katika fainali? Mtanange huu utaruka mubashara #AzamSports2HD kuanzia saa 4:45 usiku. #SisiNiSoka #Arsenal #Liverpool #azammaxweb

January 18, 2022

Disclaimer

The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.

Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.

Copyright © 2024 insiflow.com