Mkubwa na wanawe and savoy lounge wanakuletea ASLAY WITH FLOWERS 🌸 VALENTINES DAY NIGHT Tarehe 14/2/2024 savoy lounges yombo buza kanisani Show itasindikizwa na YAMOTO BAND na kibaokata cha mzee wa ngenga. Kiingilio 10000 /= tu. Muda 2:00 Hosted by H.mzazi Imedhaminiwa na Wasafi media na usher family entertainment.
February 11, 2024
Niwashukuru ma super stars wote wa muziki, movie , mpira , wadau wa entertainment, wadau wa serikali, slay queens na brother men wanaotingisha mji walioweza kuja katika show yangu , ma -surprise yalikuwa ya kutosha . Sijaweza kupata picha ya kila mmoja wenu kupost lakini shukuranj zangu niwape. Mungu awabariki
October 03, 2023
Alhamdulillah!! Napenda kumshukuru Mungu kwa uzima wangu na kipaji alichonipa, kwa familia yangu , ndugu zangu na marafiki zangu kwa support na dua zenu na kuwa na mimi wakati wote wa maisha yani . Shukurani zangu za dhati kabisa kwa record label na management kampuni zangu @sonymusicafrica @sonymusicea @rockstarafrica . Ni kwa furaha na moyo ya amani naweza kukiri Aslay, Dingi Mtoto, Mweupe amerudi rasmi kwenye kilele cha muziki. Ahsanteni sana
October 03, 2023
Katika kusherekea Miaka Yangu 10 katika muziki nimepata faraja sana kuweza kuonana na kuzungumza na Mama yetu kipenzi @samia_suluhu_hassan. Namshukuru kwa kuendelea kuinua sekta yetu ya muziki na kuongoza nchi yetu vyema🩶 Mengine tukutane pale @warehouse.tz siku ya tarehe 30th September kwa show ya kihistoria @kasampaida 📸 🙌🏽 #NaniKamaMama #Miaka10YaAslay
September 19, 2023
Nilipata fursa ya kuchangia juhudi za kusaidia kueneza ujumbe kuhusu uhifadhi wa wanyama. Tafadhali nakualika kutazama na kuunga mkono fursa hii adhimu ya WildAid kwa kutazama tamasha langu moja kwa moja jumamosi hii kwenye Televisheni ya Rockstar kwa kubonyeza Link kwenye Bio yangu hapo juu👆🏾.
March 11, 2022
Similar accounts
Disclaimer
The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.
Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.
Contact