Alhamdulillah!! Napenda kumshukuru Mungu kwa uzima wangu na kipaji alichonipa, kwa familia yangu , ndugu zangu na marafiki zangu kwa support na dua zenu na kuwa na mimi wakati wote wa maisha yani . Shukurani zangu za dhati kabisa kwa record label na management kampuni zangu @sonymusicafrica @sonymusicea @rockstarafrica . Ni kwa furaha na moyo ya amani naweza kukiri Aslay, Dingi Mtoto, Mweupe amerudi rasmi kwenye kilele cha muziki. Ahsanteni sana
October 03, 2023
Disclaimer
The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.
Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.
Contact