@aslayisihaka

Aslay

Tanzania
Katika kusherekea Miaka Yangu 10 katika muziki nimepata faraja sana kuweza kuonana na kuzungumza na Mama yetu kipenzi @samia_suluhu_hassan. Namshukuru kwa kuendelea kuinua sekta yetu ya muziki na kuongoza nchi yetu vyema🩶

Mengine tukutane pale @warehouse.tz siku ya tarehe 30th September kwa show ya kihistoria 

@kasampaida 📸 🙌🏽
#NaniKamaMama
#Miaka10YaAslay

Katika kusherekea Miaka Yangu 10 katika muziki nimepata faraja sana kuweza kuonana na kuzungumza na Mama yetu kipenzi @samia_suluhu_hassan. Namshukuru kwa kuendelea kuinua sekta yetu ya muziki na kuongoza nchi yetu vyema🩶 Mengine tukutane pale @warehouse.tz siku ya tarehe 30th September kwa show ya kihistoria @kasampaida 📸 🙌🏽 #NaniKamaMama #Miaka10YaAslay

September 19, 2023

Disclaimer

The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.

Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.

Copyright © 2024 insiflow.com