@angelbenardofficial

Angel Benard

Tanzania

Instagram posts and videos uploaded by angelbenardofficial

angelbenardofficial

July 23, 2021

angelbenardofficial

Overcome Global Network Inakukumbusha kuwa Leo hii ni siku ya Ibada na maombi. Minister: Pastor John Marcus Somo: Usizuie mdomo wako kusema Muda: Saa nne hadi tano usiku (East Africa Time) Lugha: Kiswahili Live on YouTube and Facebook.

July 23, 2021

angelbenardofficial

Hawezi Toa Uhai kwa ajili yetu, halafu akashindwa kushughulika na hali zetu. Hajawahi kushindwa na hataanza na wewe. Haya sio maneno ya kukushawishi au kukutia moyo huu ndio UKWELI wa Neno la Mungu. Usichanganye sautii ya Mungu na sauti za watu au ya nafsi yako mwenyewe ambayo haioni zaidi ya yale yanayoonekana. HE WILL NEVER LET YOU DOWN.

July 06, 2021

angelbenardofficial

Happy 4th of July

July 05, 2021

angelbenardofficial

Kila kitu kitapita. Kila mtu atapita. Lakini YESU anadumu milele. NI WA KUAMINIKA🙏

July 05, 2021

angelbenardofficial

#cousins 💕💕💕💕

July 02, 2021

angelbenardofficial

Gratefull for friends and family. Thank you Mark&Joanna and Cyrol for this surprise! And thank you to my Pastors Phill & Kendra and all of my brother and sisters God bless you so much. I love you all so much. ****** Namshukuru Mungu kwajili ya marifiki nakila anlienitakia heri ya siku ya kuzaliwa. Marafiki kutoka kanisani walini surprise na sherehe nazawadi. Mungu awabariki Joanna&Mark na wote. @bella.baylor 💕

July 02, 2021

angelbenardofficial

In ALL things ,GOD IS GOOD. *********** Katika KILA jambo, MUNGU NI MWEMA. #nimeona

July 02, 2021

angelbenardofficial

If Jesus felt sorry for His life, where would we be today? Happy Sunday. ******** Kama Yesu angejionea huruma, tungekuwa wapi leo? 🤔 *****

July 02, 2021

angelbenardofficial

Am a proud sister!!!! The little man has just graduated! We have an engineer in the house! 💕💕 Proud of you baby bro @_pain_killer2_ Fitness expert + engineer 😏interesting combo! Hahaha. See you soon sweetheart.

July 02, 2021

angelbenardofficial

Shalom, Hatutakuwa na kutaniko la Alhamis online leo hii Mchana kwa sababu ambazo zipp nje ya uwezo wetu. Badala yake tutakutana saa mbili usiku katika English service (central time). Uzidi kutunzwa na Baba. Nakusihi Pata muda kuangalia Yohana 8: kuanzia mstari wa 12. Kisha tushirikishe unachosemeshwa moyoni. Nawapenda.

July 02, 2021

angelbenardofficial

After pushing him to eat for almost 40 minutes I had to stop and started freestyling with him. "Sometimes the best you can do is be silent, and let it go". Gotta preach to me self ... pheeeww🤓 ************ Baada ya kugombana kula kwa dakika 40 tukaanza kufanya mtindo huru (kuimba bila kupanga nini kinaanza na nini kitafuta) nikiwa na Eli. Maneno tunaimba "Kuna wakati jambo jema la kufanya ni kukaa kimya " Ilibidi nijihubirie si kwa kukimbizana kule. 🤓

July 02, 2021

Similar accounts

zarithebosslady

12m followers

@zarithebosslady
wemasepetu

11.3m followers

@wemasepetu
hamisamobetto

10.9m followers

@hamisamobetto
rayvanny

9.9m followers

@rayvanny
ireneuwoya8

8.3m followers

@ireneuwoya8
ommydimpoz

7.9m followers

@ommydimpoz
mangekimambi_

7.8m followers

@mangekimambi_
kajalafrida

7.4m followers

@kajalafrida
harmonize_tz

7.3m followers

@harmonize_tz
wasafitv

7.1m followers

@wasafitv
zamaradimketema

6.9m followers

@zamaradimketema
officiallinah

6.9m followers

@officiallinah

Disclaimer

The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.

Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.

Copyright © 2024 insiflow.com