Shalom, Hatutakuwa na kutaniko la Alhamis online leo hii Mchana kwa sababu ambazo zipp nje ya uwezo wetu. Badala yake tutakutana saa mbili usiku katika English service (central time). Uzidi kutunzwa na Baba. Nakusihi Pata muda kuangalia Yohana 8: kuanzia mstari wa 12. Kisha tushirikishe unachosemeshwa moyoni. Nawapenda.
July 02, 2021
Disclaimer
The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.
Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.
Contact