Hawezi Toa Uhai kwa ajili yetu, halafu akashindwa kushughulika na hali zetu. Hajawahi kushindwa na hataanza na wewe. Haya sio maneno ya kukushawishi au kukutia moyo huu ndio UKWELI wa Neno la Mungu. Usichanganye sautii ya Mungu na sauti za watu au ya nafsi yako mwenyewe ambayo haioni zaidi ya yale yanayoonekana. HE WILL NEVER LET YOU DOWN.
July 06, 2021
Disclaimer
The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.
Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.
Contact