Let me take this precious moment to wish Her Excellency, Our Number One, The One & Only, The Iron Lady, Mama Yangu Kipenzi, Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan The Happiest Birthday... Yes..!! Baada ya foleni ya jana kupungua maana wishes zilikuwa nyingi sana... 🥰🥰🥰 Mama I love you so much... @samia_suluhu_hassan @samia_suluhu_hassan Labda tu niseme mimi apa nakuthamini na nakupenda... Sasa niwaambie tu kitu kimoja mwenzenu mimi apa Mama Samia alinileteaga my first gold chain on my 6th Birthday back in 1996 nilipofanya my First Birthday Party pamoja na Daddy Sepetu... Mama na mimi nina mkufu wako wa dhahabu pia nitauleta Ikulu kama Birthday present yako kutoka kwangu...Hata nisipokupa personally, nitauacha pale reception... Msije kusema najikweza ni true story just so you know... Kazi Iendelee na Itikadi zifatwe na kuzingatiwa...
January 28, 2024
Our Christmas was spent like this...🥰🥰🥰 Hapo kati kati kulikuwa na matukio mengi ila haya ndo niliofanikiwa kuyachukua maana Baby Lola mshweet ana heka heka nyingi tu😅😅😅 But we Had so much Fun mpaka mwishoni kataka mwenyewe kurudi nyumbani... 🤗🥰🤗 Love you Baby Lola mshweet wa Mama Chimama... @sheislolla @sheislolla ❤️❤️❤️ Love you sooooooo much🤗❤️🤗
December 25, 2023
Merry Christmas from my Booboo & me ofcourse🥰😜🥰... @w.a.s.h.o.o @w.a.s.h.o.o @w.a.s.h.o.o @w.a.s.h.o.o
December 25, 2023
Happiest Birthday to my one & only bby wii... Unajua venye nakupenda mimi apa kila siku, kila saa, kila dakika... Unastahili kila jema kwako maana wewe ni wa juu... Mungu azidi kukubariki bby wii wangu uzidi kufanikiwa kila iitwayo leo... Una thamani kubwa sana kwangu... Ishi sana uone mpaka vitukuu vyako... We celebrate you today... @natalydmpz80 @natalydmpz80 @natalydmpz80 🎂🎂🎂
December 23, 2023
Sisi apa na msimu huu wa Xmas tumeshajipatia zetu nguo nzuri nzuri from @sweetlorah ... Wana shweet stuff... 🥰🥰🥰
December 20, 2023
Happy Birthday to you Shuwee wangu... Live Long to see Ika's Kids... Age with Grace.... So much Love from me to You... @iam_khizzer@iam_khizzer@iam_khizzer@iam_khizzer 🎂🎂🎂
April 18, 2022
Mashallah mke wetu ana Haiba.... 🥰🥰🤗🥰🥰... Hongera sana Haji wangu... Allah bariq ndoa yenu.... @hajismanara@hajismanara@hajismanara . . . Metamani na mimi...🤔🤔🤔
April 16, 2022
PIKIPIKA NA DAR CERAMICA...‼️‼️‼️ Tag wadau wote wa ujenzi wakae mkao wa kula, Jumamosi hii nakabidhi #Giftvoucher kutoka @darceramica_center katika showroom yetu ya Kariakoo Mtaa wa Swahili/Mchikichi. FURSA IPO WAZI NA MIAMALA IENDELEE #PikiPikaNaDarceramica #GiftVoucher #Wemasepetu #Darceramica #Tanzania"
April 15, 2022
Thank you so much @tvetanzania ... It was a pleasure to be part of this... I had fun... 4th Slide 🤔🤔🤔 Kwanini mimi na @vanillanunu tumemuangalia @jonijooo hivi... Kipindi ni Interpol... Gerezani Season 02... 🙌🏼🙌🏼🙌🏼 . . . Dressed by @lucie_designstz FaceBeat @glambyrose___
April 15, 2022
Jamani Natamani Kuolewa... Yaani nimetamani tu Harusi.... Na iwe Exquisite... The thought of me in a Wedding Dress, watu wamependeza... Food & Drinks na Good Music... Daaaaah... Bibi Harusi nipo, Tatizo ni Bwana Harusi.... Bado hajajitokeza....🤔🤔🤔 Unaweza ukaangilia Kipindi Full on Youtube... #EDigital #TveTanzania ... @tvetanzania@jonijooo
April 15, 2022
Similar accounts
Disclaimer
The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.
Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.
Contact