Let me take this precious moment to wish Her Excellency, Our Number One, The One & Only, The Iron Lady, Mama Yangu Kipenzi, Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan The Happiest Birthday... Yes..!! Baada ya foleni ya jana kupungua maana wishes zilikuwa nyingi sana... 🥰🥰🥰 Mama I love you so much... @samia_suluhu_hassan @samia_suluhu_hassan Labda tu niseme mimi apa nakuthamini na nakupenda... Sasa niwaambie tu kitu kimoja mwenzenu mimi apa Mama Samia alinileteaga my first gold chain on my 6th Birthday back in 1996 nilipofanya my First Birthday Party pamoja na Daddy Sepetu... Mama na mimi nina mkufu wako wa dhahabu pia nitauleta Ikulu kama Birthday present yako kutoka kwangu...Hata nisipokupa personally, nitauacha pale reception... Msije kusema najikweza ni true story just so you know... Kazi Iendelee na Itikadi zifatwe na kuzingatiwa...
January 28, 2024
Disclaimer
The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.
Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.
Contact