@wastara84

Wastara Sajuki

Tanzania

Instagram posts and videos uploaded by wastara84

wastara84

Kesho siku ya tal 19/01/2022 nitakuwa bagamoyo mapinga kuisapot kampeni ya NIBEBE NITABASAMU ILIYOANDALIWA NA FOUNDATION 2 @glady_welfare_organization @lulunation_ Karibuni sana wakazi wa bagamoyo

January 19, 2022

wastara84

Kesho siku ya tal 19/01/2022 nitakuwa bagamoyo mapinga kuisapot kampeni ya NIBEBE NITABASAMU ILIYOANDALIWA NA FOUNDATION 2 @glady_welfare_organization @lulunation_ Karibuni sana wakazi wa bagamoyo Hapo nimeongopa kidogo shughuli inaanza asubuhi saa 3

January 19, 2022

wastara84

January 18, 2022

wastara84

Jamaa kaona dhiki Imemzidi kaamua kujifanyamlemavu ili apaye kuomba pesa pesa ndio jamaa anamwambia gauka watu wakuone

January 17, 2022

wastara84

WASTARA COCTAIL LOTION SOLUTION KWA WENYE MATATIZO SUGU NA NGOZI ZILIZOCHOKA ZILIZOKATAA KILA AINA MAFUTA inafaa kwa wanawake na wanaume Hata ukiwa na ngozi ngumu kiasi gani ngozi aisikiii chochote Kila unavyojitahidi kupaka lotion tofauti ndio kwanza unaharibikasana Basi usijali umepata suluhisho wew nicheck tu naludia tena akikisha umetuma hta sms lazima utapendeza tu kwenye mikono yangu hata uwe na ngozi kama ya kobe basi hapa ni mwisho naijal ngozi yako kuliko ninavyojijali mimi mwenywe 1 kwa wale wenye chunusi 2 kwa wenye madoa sugu 3 kwa wenye ngozi zilizo fubaa 4 wenye uso mkavu mpka unaboa 5 wenye mafuta mengi usoni 6 Wenye sugu zimekataa kutoka ipo dawa ya sugu tu 7 na wenye watoto ngozi zao azieleweki wana matango tango ngozi zimefubaa kwa michezo na vumbi 8 wanaume wenye mapele sugu na machunusi 9 kwa walewanaokuwa weusi usoni tu lakini mwili una rangi nzuri ila uso mweusiiii usiache kunicheck nitakutibu fasta tu 10 Wenye weusi mapajani na makwapani basii inakutoa weusi wote itakuonyesha maajabu yake ni yaa maaajabu kweli aidanganyi walitumia wanaijua maajabu yake 0768666113 0713666113 Ukiona sim aipokelewi tuma sms whatsp au kawaida utajibiwa fasta Follow @wastara_moving_shop Cover by @wajuemedia Kujua bei na kuona bidhaa nyingine KARIBUNI SANA

January 17, 2022

wastara84

Ni kweli hakuna mtu atakaeweza kuwasahau watu walimpa msuguo katika maisha yake

January 17, 2022

wastara84

Jamani wale marafikii followrs wangu niombe msamaha kwa kuchelewkutoa taharifa ya kuomba msaada wa vifaa vya shule kwa watoto yatima... Ninawaomba sana sana yoyote mwenye vifaa vya shule kama madaftar vitabu pensel pen au compas bag ya kubebea madaftar nk pia kwa yule atakaejaaliwa kununua nguo za shule au lolote lile mtakaloweza kusaidia hawa watoto wapo wanaongia secondar wanatumia mashati meupe na nguo nguo za chini blue bahari na wengine wanavaa kijani dark na mashati meupe na nguo za priamal ndio zinaitajila kwa wingi vifa vinapelekwa kwenye vituo vitatu ninaomba kma watanzania wenzangu na watoto yatima ni watoto wetu sis ndio wazazi wao maana hakuna anaeweza kurudisha wazazi wao hivyo ni jukumu hasa kwa qale waliotayari kujitolea na mpakaa sasa tuna mashati 17 na madaftar kidogo ukiguswa tafadhali nipigie nikuelekeze ofisi yetu ilipo Nitawashukuru sana na niaamini mioyo yenu mtasaidia 0768666113 0713666113

January 17, 2022

wastara84

WASTARA COCTAIL BEAUTY SOAP NA WASTARA ANT ACNEE SOAP kwasasa zipo mtaani zimeshaingia sokoni Ni sàbuni nzuri zisizochubua ngozi yako ziilizotengenezwa kwa matunda na viungo zipo aina 2 kuna za kuondoa chunusi makovu muwasho na harara zozote hii ni ANT ACNEE SOAP Kuna ya kukufanya uwe mrembo zaidi kuwa na ngozi laini kukausha mafuta hii ni WASTARA COCTAIL SOAP WASTARA ACNE SOAP inaodoa chunusi za iana zote Inafuta madoa Inakausha mafuta Inalainisha ngozi ya usoni Inavuta ngozi zenye makunyanzi Pia zote 2 zinalinda ngozi na kuikinga na miale ya jua karibu ujionee maajabu ya sabuni hizi 0768666113 0713666113 KAMA UTASHINDWA KUJA NILIPO BASI MAWAKALA WETU WATAKUHUDUMIA ULIPO Na TUNAWAKARIBIÀÑ A WÀMAWAKALA.WA.MIKOANI 0754535588 mwenge 0684082290 mwenge 0715062669 mbagala kizuiani 0757048058 kiwalani KWA ORDER 0768666113 0713666113

January 16, 2022

wastara84

Habari kipenzi Samahani kwa kuingilia mipangilio yako ilaa unahitaji msaada Kuna watoto yatima wanahitaji mavazi ya shule kwakuwa wanakaribia kufungua shule Wanaomba msaada na huruma yenu Vitu vinayohitajika Sket za shule pic 24 Mashati meupe 28 Viatu vyeusi pic 16 Mabag ya shule 30 wapo na wa secondal Soks dazen 4 kila dazei ina soks 12 Madaftar Count book pc 63 Madaftar makubwa pic 56 Maftar madogo pc 24 Pen box 2 Pensel box 1 na vingine vingi vinavyohusiana Na shule hivyo chochote utakachoweza Kununua kati ya hivyo basi Tunaomba uutujulishe kokote ulipo tunakuja kufuata au Kwa urahisi kabisa utuletee tabata chama segerea au piga simu Au kama huna uwezo wa kufika ofisini tutakufuata ulipo unaweza kutoa chochote utakacho jaaliwa Mawasiliano 0746666691 wastara juma 0713666113 wastara issa ASANTE SANA KWA KUTUJALI MUNGU ATAKULIPA

January 16, 2022

wastara84

WASTARA COCTAIL LOTION SOLUTION KWA WENYE MATATIZO SUGU NA NGOZI ZILIZOCHOKA ZIJAZOKATAA KILA AINA MAFUTA inafaa kwa wanawake na wanaume Hata ukiwa na ngozi ngumu kiasi gani ngozi aisikiii chochote Kila unavyojitahidi kupaka lotion tofauti ndio kwanza unaharibikasana Basi usijali umepata suluhisho wew nicheck tu naludia tena akikisha umetuma hta sms lazima utapendeza tu kwenye mikono yangu hata uwe na ngozi kama ya kobe basi hapa ni mwisho naijal ngozi yako kuliko ninavyojijali mimi mwenywe 1 kwa wale wenye chunusi 2 kwa wenye madoa sugu 3 kwa wenye ngozi zilizo fubaa 4 wenye uso mkavu mpka unaboa 5 wenye mafuta mengi usoni 6 Wenye sugu zimekataa kutoka ipo dawa ya sugu tu 7 na wenye watoto ngozi zao azieleweki wana matango tango ngozi zimefubaa kwa michezo na vumbi 8 wanaume wenye mapele sugu na machunusi 9 kwa walewanaokuwa weusi usoni tu lakini mwili una rangi nzuri ila uso mweusiiii usiache kunicheck nitakutibu fasta tu 10 Wenye weusi mapajani na makwapani basii inakutoa weusi wote itakuonyesha maajabu yake ni yaa maaajabu kweli aidanganyi walitumia wanaijua maajabu yake 0768666113 0713666113 Ukiona sim aipokelewi tuma sms whatsp au kawaida utajibiwa fasta Follow @wastara_moving_shop Cover by @wajuemedia Kujua bei na kuona bidhaa nyingine KARIBUNI SANA

January 16, 2022

wastara84

@glady_welfare_organization nimefurahi sana kwa kunialika katika tamasha la Nibebe Nitabasamu litakalofanyika tal 19/01/2022 siku ya jumatano wilaya ya bagamoyo kijiji cha mpinga kuanzia saa 4 asubuhi Kila mwenye nia ya kusapot basi tunawaomba tuungane na tujitokeze Kwa wingi ili tukawafanye watoto watabasamu

January 16, 2022

wastara84

Anatafuta mchumba mwenye kilo 30

January 16, 2022

Similar accounts

zarithebosslady

12m followers

@zarithebosslady
wemasepetu

11.3m followers

@wemasepetu
hamisamobetto

10.9m followers

@hamisamobetto
rayvanny

9.9m followers

@rayvanny
ireneuwoya8

8.3m followers

@ireneuwoya8
ommydimpoz

7.9m followers

@ommydimpoz
mangekimambi_

7.8m followers

@mangekimambi_
kajalafrida

7.4m followers

@kajalafrida
harmonize_tz

7.3m followers

@harmonize_tz
wasafitv

7.1m followers

@wasafitv
zamaradimketema

6.9m followers

@zamaradimketema
officiallinah

6.9m followers

@officiallinah

Disclaimer

The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.

Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.

Copyright © 2024 insiflow.com