@wastara84

Wastara Sajuki

Tanzania
@glady_welfare_organization nimefurahi sana kwa kunialika katika tamasha la
Nibebe Nitabasamu litakalofanyika tal 19/01/2022 siku ya jumatano wilaya ya bagamoyo kijiji cha mpinga kuanzia saa 4 asubuhi
Kila mwenye nia ya kusapot basi tunawaomba tuungane na tujitokeze 
Kwa wingi ili tukawafanye watoto watabasamu

@glady_welfare_organization nimefurahi sana kwa kunialika katika tamasha la Nibebe Nitabasamu litakalofanyika tal 19/01/2022 siku ya jumatano wilaya ya bagamoyo kijiji cha mpinga kuanzia saa 4 asubuhi Kila mwenye nia ya kusapot basi tunawaomba tuungane na tujitokeze Kwa wingi ili tukawafanye watoto watabasamu

January 16, 2022

Disclaimer

The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.

Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.

Copyright © 2024 insiflow.com