MTEJA WETU WA LEO AMECHAGUA ENEO LA NJE KWENYE TENT UPANDE WA GARDEN KARIBUN SANAAAA KWA SHUGHUL MBAL MBAL @mjikasorofastfood Mapambo mazur kabisa kutoka kwa pambaj la mkoa..le wizoooo @mwamy_decorations ...
February 27, 2022
KWA SHEREHE MBALI MBALI KARIBU MJI KASORO FAST FOOD UKITAKA UKUMBI WA NDANI TUNAKUPATIA NA UKITAKA NJE KWENYE TENT UPANDE WA GARDEN PIA TUNAKUPATIA LEO MTEJA WETU KASHAGUA NJE TUPO KUKUHUDUMIA @mjikasorofastfood Shukran @mwamy_decorations jambo liko vereeeee Pambaji la mkoa @mwamy_decorations ...jamani wifii yangu anajua kupamba jamani
February 27, 2022
Baraka Polyclinic ni moja ya hospitali ya kisasa mjini morogoro inapatikana soko kuu la Chief Kingalu na inafanya masaa 24 /7. Inatoa huduma za madaktari bingwa ( daktari bingwa wa watoto, wanawake, Ngozi, upasuaji, Meno, Mazoezi na viungo, ENT- pua, koo na masikio ,Physician na urologist. Pia tunazo huduma bora za maabara yenye vipimo vyote, Ultrasound na dawa za kisasa. *Jumapili hii 27-02-22 kuanzia saa mbili asubuhi hadi saa kumi jioni tutakuwa na huduma ya madaktari bingwa wa masikio koo na pua kutoka KCMC. Pia watakuwepo wabobezi wa usikivu na kusikia watakuwepo na vifaa vya kupima usikivu njoo na mlete yeyote unaemfaham apate huduma hii.* Karibu sana na mjulishe na mwenzako @barakapolyclinic_moro
February 24, 2022

Similar accounts
Disclaimer
The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.
Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.
Contact