@wardaplanetfm

PLANET FM RADIO🎧🎶

Tanzania
Baraka Polyclinic ni moja ya hospitali ya kisasa mjini morogoro inapatikana soko kuu la Chief Kingalu na inafanya masaa 24 /7.
Inatoa huduma za madaktari bingwa ( daktari bingwa wa watoto, wanawake, Ngozi, upasuaji, Meno, Mazoezi na viungo, ENT- pua, koo na masikio ,Physician na urologist.
Pia tunazo huduma bora za maabara yenye vipimo vyote, Ultrasound na dawa za kisasa.
*Jumapili hii 27-02-22 kuanzia saa mbili asubuhi hadi saa kumi jioni tutakuwa na huduma ya madaktari bingwa wa masikio koo na pua kutoka KCMC. Pia watakuwepo wabobezi wa usikivu na kusikia watakuwepo na vifaa vya kupima usikivu njoo na mlete yeyote unaemfaham apate huduma hii.*
Karibu sana na mjulishe na mwenzako

@barakapolyclinic_moro

Baraka Polyclinic ni moja ya hospitali ya kisasa mjini morogoro inapatikana soko kuu la Chief Kingalu na inafanya masaa 24 /7. Inatoa huduma za madaktari bingwa ( daktari bingwa wa watoto, wanawake, Ngozi, upasuaji, Meno, Mazoezi na viungo, ENT- pua, koo na masikio ,Physician na urologist. Pia tunazo huduma bora za maabara yenye vipimo vyote, Ultrasound na dawa za kisasa. *Jumapili hii 27-02-22 kuanzia saa mbili asubuhi hadi saa kumi jioni tutakuwa na huduma ya madaktari bingwa wa masikio koo na pua kutoka KCMC. Pia watakuwepo wabobezi wa usikivu na kusikia watakuwepo na vifaa vya kupima usikivu njoo na mlete yeyote unaemfaham apate huduma hii.* Karibu sana na mjulishe na mwenzako @barakapolyclinic_moro

February 24, 2022

Disclaimer

The data provides is not authorized by TikTok. We are not an official partner of TikTok.

Use of materials from the resource is permitted only with a link to our resource.

Copyright © 2024 insiflow.com